Ni muhimu aseme hasa kwa wale wenye kuishi mazingira ya kufanana kama kazini au mtaa mmoja,mwanamke asipokuambia ujue atamtafutia nafasi kummegea huyo jamaa.wanawake wana roho mbili.
Akikataa anamwambia mpenzi wake; wale anaowakubalia nao anamwambia mpenzi wake? Kwanza kabisa kwa mke wa mtu kutongozwa na mtu ambaye anafahamu kuwa ni mke wa mtu ni dharau iliyovuka mipaka. Kabla ya kufikia hatua ya kumweleza mwenzi wake huyo mwanamke ajitafakari sana huyo aliyemtongoza anamwonaje wakati anajua ni mke wa mtu; akishapata jibu abadili tabia yake. Mazoea yanayopitiliza ndiyo yanayofikia kutongozwa mfano kupenda kuomba omba "Lunch, vitafunwa, soda, maji nk"

Mimi naona tatizo sio kuambiwa, je wewe kama mwanaume unapata faida gani kujua mke wako ametongozwa na fulani???!! Mimi naona hapa ni kujiongezea tu maadui, maana watongozaji wengine ni marafiki zake! Bora tu kukaa kimya.....kuepusha taabu nyingine.

Mkuu hapo umenena,, Mzee mmoja alituambia siku mmoja kijiweni......Mkeo akikwambia Fulani kanitongoza, wewe muulize, JE UNGEMPA UNGENIELEZA!!!!, Haya maneno ya mzee mpaka leo na tafakari!!

<br /

Aah! Kuna mengi ya kujifunza kwenye hii thread,kumbe wanawake wana roho mbili.

Sijui kwa nini nahisi kama ni ushamba na uchonganishi tu, coz wanawake ni maua na watu wanajaribu tu kwa hito ukisema kila anaekutongoza itabidi kila siku kabla ya kulala uweke kipindi cha maelezo, coz kuna wengine maybe wanatongozwa kila siku....vilevile usisahau kusema na uliowakubali pia

Vp kama atakueleza katongozwa na jiran yako wa karibu ama mshikaji mnaefahamiana?

Nafikiri hatua ya kuchukua ni kuwa na hekima na busara ya kujijua wewe ni nani kwa mwenzako.

Ikiwa mke/mpenzi ametongozwa halafu akaniambia je na mimi naweza kumwambia nimetongoza!

Ni swala la watu kujitambua tu.

Dah hii mada imenikumbusha mbaali sana g.f wangu alikuwa akiniambia m2 fulani anamtongoza na anamsumbua sana nilimjibu ki2 kimoja kama unanipenda kweli utalinda uhusiano wetu jamaa yule alikuwa mtata sana nisingewez kufanya kitu daahh baada ya muda sikusikia tena zile lawama ila taratibu demu alinigeuka kufuatilia jamaa yule yule nda kabeba mzigo so msichana aseme ama asiseme maamuzi mara zote anabaki nayo yy