Hii ndoa yako ni ngumu mno. Kwa hilo nianze na pole pia unaonekana una moyo mlaini sana ukimpenda mtu, hii haifai kwa mwanaume utateseka mno hata mie ilinisumbua sana hio hali kipindi naanza mambo ya mapenzi inabidi ujifunze kuwa bandidu ikibidi sio kuvumilia upuuzi kisa unapenda na hapo ndio utayamasta vyema mahusiano, jifunze kupotezea.
Kwa ushauri tu maamuzi ni yako lakini, huyo mwanamke ni sampuli ya wale KE mwanzoni anajitia mpole ila kiuhalisia ni mnafiki tu, mtu wa visasi na malaya wa undercover. Anang'ata na kupuliza na alishaujua udhaifu wako kuwa una huruma sana na ndio amekuwa akiutumia ka silaha ya kukupelekesha because you let her use that toka mko kwenye uchumba.
Imagine, anawasiliana na ex akakudanganya still ukasamehe, na its possible alikuwa anamtia kabisa...Usaliti!!!! Na sio huyo tu pengine kuna wengine walikuwa wanapiga kisela.
Mwanamke akishakuwa mtu wa kupenda attention/entertainment za ex au wanaume tofauti huku mko kwenye uhusiano ni aidha hajakuwa tayari ama hafai kabisa na asilimia ni chache mno kuwa hata cheat na mmoja miongoni mwao.
Hakuna urafiki wa kudumu kati ya simba na swala! Mwanamke mzuri ni anayeheshimu uwepo wako zaidi kiasi cha kutowapa nafasi ME wengine wafikie kumtongoza! Tena mbaya zaidi ikiwa ushamkanya akawa mkaidi!!!
Kingine naona hukuwa na msimamo kabisa, huyo ulimuoa kwa sababu ya ulitumia hisia badala ya akili. Huruma ya mimba ila hukuwa na mapenzi ya dhati kwake na ukamuacha demu wako wa mipango kijinga kijinga tu kwa kutojielewa ukamuumiza mno.Sio rahisi kuondoa hayo maumivu kwa mtu aliyekuamini mno. Hata msamaha hauwezi futa jera moyoni na saikolojikale.
Jifunze kukaza moyo kuanzia sasa na piga chini, ulikosea sana kumuoa maana huyo mwanamke alionesha dalili zote ila ulijipa hope tu kwa vile mtamu wa mapenzi ukawa huoni ni mmbovu wa maadili.Demu anafikia mpaka kukunyima mbunye. Hio ni dharau ya kiasi gani??? Kwa hapo alipofikia ni hatari sana kwa afya yako kimwili na kiakili. Mtoto peleka kwa bibi yake usiskilize la pasta wala muhadhini. Kuwa bandidu now and forever. Usiendeshwe na hisia za mwanamke mshenzi!!!