Msamaha kama ungetimiza ahadi yenu ungekubalika lakin ukaoa kabisa mwingine no! Nahuyo atakutesa mpaka mwisho nakupa tahadhali huyo uliyenaye ipo siku atakwambia sikutaki nipe talaka omba tu Mungu mkuuMkuu yawezekana lakn,yule dada tuliachana nilimuomba msamaha.
Piga chini Mkuu acha ubwege !!! Kwanini unakubari kushare na watu wife wako heshima ya Ndoa yko iko wapi?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] mkuki kwa nguruwe, kama alikuwa mwaminifu lazima machozi yamrudiye miaka 7 halafu uachwe duu malipo hapahapa.Hayo ni machozi ya mpenzi wako wa kwanza yanakurudia coz kama alikuwa mwaminifu kwako wewe ukaona kutafuta kipozeo ndo dili, wacha yakurudie saivi kwa mkeo uone inavyouma
Mkuu....mimba siyo ticket ya ndoa..... Nakumbuka siku moja nipo CAIRO. ...transit nakwenda TURKY..nilikutana na NIGERIAN mmoja...mimi natokea NAIROBI... Na yeye akitokea ABUJA ..wote tuna conect to INSTANBUL jamaa akaniuliza unakwenda turky.. Halafu utaenda Greece?nikamwambiya ndy ... akasema hata yeye pia ana malengo hayo....baadae ataenda either ITALY AU GERMAN.akifika GREECE.... pia akanambiya UMEOA?nikamwambiya sijaoa ila nina mtoto 1... tht was 2012..iam talking about.. jamaa akasema ana watoto 5 na kila mtoto na mama yake....akaniuliza....ukirudi UTAMUOA MAMA MTOTO WAKO?nikamwambiya kwa sasa sina mahusiano nae...tumeachana muda tu....yeye akanambiya akirudi ataangalia ktk wana wale wake 5"""ataangalia yupi MWANAMKE aliyezaa nae anafaa kuwa mke...kama hawana VIGEZO..HAWAFAI KUWA MKE..atatafuta kwengine...mimi nikamuuliza wanawake 5 ni wengi sana lazima upate 1 kati yao UOE. Sababu ya watoto..AKANAMBIYA KUZAA NA MWANAMKE SIO SABABU YA KUMUOA... akaniuliza.. kwenu TANZANIA kuna VICHAA WANAWAKE? nikamjibu ndio..wengi tu...akasema umeshawahi kuwaona PREGNANT? nikajibu ndy...akasema waliowapa MIMBA hao VICHAA sio vichaa wenzao....ni mwanaume. wenye akili timamu kabisa kama mimi na ww...NIKAONA POINTS TUPU ANAONGEA HUYU JAMAA......sasa inamaana KICHAA Akizaa na yule MWANAUME aliyempa mimba amchukuwe KICHAA AOE? Au aishi nae?nikamwambiya no...haiwezekani..basi akasema wanawake wengine hata ukizaa nao...sio ticket ya KUOA...WENGINE NI MACHIZI FRESH.. .ndy kama wewe mkuu..tangia mwanzo hukustahili kumwoa huyo mwanamke.... Ulimchukulia wa kawaida tangia mnaanza mahusiano kwa maelezo yako mwenyewe. .. Na wala halikuwa chaguo lako..ulifanya kosa kubwa kuoa...POLE SANA..Mkuu mchumba sikumwacha maksudi,nilipompa mimba huyu mwanamke sikuona sababu ya kumtelekeza,nimelelewa maisha mabaya saana sikutaka kumtesa mtu,by the way nimekuja kuombe ushauri hujamaliza na conclusion nn nifanye.