Je ndege haziwezi kurudi nyuma( reverse)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ndege haziwezi kurudi nyuma( reverse)?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Zing, Feb 22, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nikiwa uwanja wa ndege huwa naona ndege zikitaka kutoka kwenye terminal kwa kurudi nyumza zinasukumwa na vigari vidogo

  • Je ina maana ndege hazina mechanism ya reverse gear or reverse motion?
  • kama ndio ni kwa nini? na kama zinayo kwa nini zinasukuwa na vigari zikiwa terminal ?
   
 2. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Swali zuri sana!

  1.Kuna ndege za aina mbili ambazo ni -Jet engine na Propeller engine.
  2.Ndege za Je huwa hazina reverse gear.
  NB:
  Ieleweke kuwa tunaposema reverse gear kwenye ndege tunaongelea direction ya suction ya hewa.
  Kawaida, ndege ya jet ili iende mbele inavuta upepo kwa mbele kuuingiza kwenye injini na kuu'pressurize,kisha kuutoa kwa nguvu kubwa, ambapo nguvu hiyo ya kuutoa ndiyo huisukuma ndege mbele...Umbo la injini ya Jet limetengenezwa kiasi kwamba ina eneo kubwa la kuvuta upepo kwa mbele, lakini ina eneo dogo lakuutolea upepo huo huo, ili kuzalisha force au kani kubwa ya kuipeleka mbele.
  Kwa jinsi hiyo, umbo la ndege ya Jet haliruhusu eneo la kutolea upepo libadilishwe kuwa la kuvutia upepo, ili ndege iende kinyume.

  Ndege ya Propeller inaweza kabisa kupiga reverse, na huwa zinafanya hivyo mara nyingi tu!
  Kawaida ndege ya propeller huwa inavuta upepo kwa kutumia mapangaboi, na kuurudisha nyuma, na kitendo hicho kinapofanyika kwa mzunguko wa kasi husababisha ndege kusonga mbele.
  Kitendo cha kuuvuta upepo mbele na kuurudisha nyuma kinakuwa achieved kwa kuyaweka mapangaboi katika engo' fulani, ambapo jambo hilo hufanywa na rubani.
  Sasa, ukitaka upepo uvutwe kutoka nyuma kwenda mbele, ni kiasi cha kubadilisha engo au uelekeo wa mapangaboi yale tu,na unakuta ndege inarudi reverse kinyume na uelekeo wa upepo.
  Kwa hiyo ndugu hii inawezekana kwa ndege za Propeller tu, japo umakini wa juu sana huhitajika wakati huo, maana kutokana na umbo la ndege, rubani haoni chochote nyuma yake, na ndege kawaida haina site mirror..
  Nenda google kwa msaada zaidi, lakini kwa uzoefu wanguna kwa lugha ya kiswahili ni kama hivyo nilivyokusimulia.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ndio zinarudi nyuma niliona ya bush alipokuja hapa niliona ikirudi nyuma pale uwanja wa ndege
   
 5. O

  Ome Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ndege zinaweza kurudi nyuma ila ni hatari kwa kuwa inabidi engine ziwe zimewashwa.,

  First, thrust reversers on jets. The same thrust reversers that are used in landing to slow a plane down can be used to back it up. However, at civilian airports it is safer and cheaper to use a vehicle to push the plane backwards from the gate.

  Second, adjustable pitch propellers. Such as on the C130. They can reverse the pitch so instead of the normal backwards thrust, they get forward thrust, moving the plane backward.

  Using reverse when stationary is very dangerous especially near a gate where the trust could cause injury to civilians or damage to objects near the aircraft. Even if the reverse was to be used Pilots won't have much control on what direction they are moving in as there view of what's behind them is restricted
   
 6. O

  Ome Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
   
 7. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mtaalam wa mechanics na Aerodynamics kwa nini hizo turbine engine tu ndo ziweze kurudi na sio hizo zenye piston.?

  Na kwa sie tusijua sana haya mambo ya mehanics unaweza kumuelezeaje mtu akikuuliza nini hasa maana ya neno turbo. Ebu nifafanulie turbo ni nini au ni kifaa kikoje?
   
Loading...