Upo nje ya mada mkuu.ELIMU YA TZ NI SHDA.kama mitala haijabadilishwa wasomi wetu wataendelea kukrem water water war then akija mtaani hana msaada kwa jamii zaidi ...
NDYO NAJUA HILO.mitala bora usingetafuta kaz ungejiajiri kwa elimu yako.wapo wahitimu wa chuo ud wanaolipwa laki kwa mwezi kufundisha private school kisa hakuna ajira kwa govt yetu tzUpo nje ya mada mkuu.
Mimi msomi bro...ety msomi
OK...shukuraniVolunter kwa T.A sizan kama zipo ila nenda chuo husika ulizie utaratibu mkuu hasa department ya coz yako..
Jazia nyama mkuuUpo nje ya mada mkuu.
Amesema ukweli usikasirike tu sawa?Upo nje ya mada mkuu.
Mmh yan laki kwel mbona kama malipo ya chini sana..uyo kaajiriwa au volunteer.NDYO NAJUA HILO.mitala bora usingetafuta kaz ungejiajiri kwa elimu yako.wapo wahitimu wa chuo ud wanaolipwa laki kwa mwezi kufundisha private school kisa hakuna ajira kwa govt yetu tz
Vipi assistant lecturers wako wengi au pia kuna uhaba?Ni lazima uwe na GPA ya 3.8 undergraduate unless kama utaratibu umebadilika. Nafasi unaweza kupata vyuo binafsi, kozi za lugha CL nk zina uchache wa walimu
Tumia usomi wako kujiajiri.Kwema humu ndani?
Mimi ni msomi wa level ya Bachelor degree kutoka chuo cha Dar es Salaam. Ni mwalimu wa lugha.
Ni miaka 3 sasa imepita toka nimehitimu masomo yangu.
Nilipanga niendelee na masomo ya juu baada ya kuhitimu shahada yangu maana napenda sana siku moja niwe mwalimu wa Chuo kikuu ila kulingana na kuyumba kwa uchumi wa familia ikashindikana.
Sasa nimekuja kwenu kuomba kama nitapata fursa ya kujitolea kuwa msaidizi wa mkufunzi.
Kama kuna mtu anaweza nisaidia mawazo ili nifikie napokusudia nitashukuru sana?
NB. Nina ufaulu mzuri ktk shahada yangu.