Je naweza kuidisable hii notification?

Je naweza kuidisable hii notification?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Hii notification inanikera Sana, kila muda unatokea mi nafanya kuisogeza masaa mawili mbele vipi naweza kuidisable kabisa
Screenshot_2021-02-17-14-33-58-52_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Habari donlucchese

Hiyo ni setup updation ya simu janja yako, na hapo kuna maongezo au ingizo jipya kimuenekano na usalama.

Bofya hapo kisha chagua "Tumia Data" badala ya WI-FI na ufuate maelezo haichukui dakika 5 utakuwa umemaliza na kupotea.
 
Hii notification inanikera Sana, kila muda unatokea mi nafanya kuisogeza masaa mawili mbele vipi naweza kuidisable kabisaView attachment 1704604
Hyo message huwa inatokea mwanzo unaposetup simu yako kma hujaconnect WiFi.

Kuitoa hapo zima data, connect kwenye wifi na utoe Google account yako. Kisha restart simu na utumie hyo wifi tu(usiwashe mobile data) kurudisha account yako na kuset kila kitu ndio itaondoka.

Au unaweza disable hyo Android setup ukaipotezea. Shikilia hyo notification, kisha bonyeza icon ya kma settings hvi itatokea, then itakapofunguka bofya icon ya hyo Android setup baada ya hapo utaona option ya disable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta kwenye Settings ^Third Party Syncronization^ halafu nakutumia code fulani, kisha utabofya kwenye ^Share Data^ hapo utakuwa umeondoa tatizo kabisa.
 
Habari donlucchese

Hiyo ni setup updation ya simu janja yako, na hapo kuna maongezo au ingizo jipya kimuenekano na usalama.

Bofya hapo kisha chagua "Tumia Data" badala ya WI-FI na ufuate maelezo haichukui dakika 5 utakuwa umemaliza na kupotea.
Haikubali tatizo kuchagua data na Mimi sitaki kumannualy ingia play store Ni update all apps
 
Habari donlucchese

Hiyo ni setup updation ya simu janja yako, na hapo kuna maongezo au ingizo jipya kimuenekano na usalama.

Bofya hapo kisha chagua "Tumia Data" badala ya WI-FI na ufuate maelezo haichukui dakika 5 utakuwa umemaliza na kupotea.
Check mkuu hamna option ya data
Screenshot_2021-02-17-16-44-46-05.jpg
 
Hyo message huwa inatokea mwanzo unaposetup simu yako kma hujaconnect WiFi.

Kuitoa hapo zima data, connect kwenye wifi na utoe Google account yako. Kisha restart simu na utumie hyo wifi tu(usiwashe mobile data) kurudisha account yako na kuset kila kitu ndio itaondoka.

Au unaweza disable hyo Android setup ukaipotezea. Shikilia hyo notification, kisha bonyeza icon ya kma settings hvi itatokea, then itakapofunguka bofya icon ya hyo Android setup baada ya hapo utaona option ya disable

Sent using Jamii Forums mobile app
Kureset jau mkuu na hiyo unayosema nimeshajaribu
Screenshot_2021-02-17-16-49-50-63_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Unahangaika na kitu kidogo sana aisee

Ebu tafuta simu yenye hotspot share wifi na simu yako kisha fata maelezo ya hiyo meseji inayokuja hiyo mpaka mwisho.
 
Hyo message huwa inatokea mwanzo unaposetup simu yako kma hujaconnect WiFi.

Kuitoa hapo zima data, connect kwenye wifi na utoe Google account yako. Kisha restart simu na utumie hyo wifi tu(usiwashe mobile data) kurudisha account yako na kuset kila kitu ndio itaondoka.

Au unaweza disable hyo Android setup ukaipotezea. Shikilia hyo notification, kisha bonyeza icon ya kma settings hvi itatokea, then itakapofunguka bofya icon ya hyo Android setup baada ya hapo utaona option ya disable

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimezingatia, solved [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom