Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam JF
Kuna mda mwengine kazi moja miaka nenda miaka rudi huwa zinachosha na mtu mwengine huchukia kazi kutokana na ubize wa kazi, mfano; kazi ya ukonda wa dala dala kama haice, konda hutinga mlangoni miaka mingi huku masaa mengi akiwa amepinda mgongo au deva wa lorry za kwenda mataifa ya nje akiwa amekalia kiti siku nzima.
Sasa raha ilioje pale utakapopata kazi ambayo hukuingizia pesa nyingi inayokidhi mahitaji na kukupa mda mwingi wa kupumzika mfano kama kazi ya kukusanya mauzo ya biashara katika kampuni.