Je, Nassoro Mazrui bado yuko hai? Kwanini anafichwa?

Huu ndio ushenzi ambao nasema kila siku utatupeleka pabaya... huyu sio jambazi, sio mhuni, sio mtu asiye na anuani.

Mazrui ni mfanyabiashara na aliwahi kuwa kiongozi. Huu upuuzi tunaofanya nikujichafua wenyewe unnecessarily.

Huyu ni Baba wa familia, ana ndugu wanaomtegemea. Wote tunajua alivyokamatwa. Kwanini tunataka kutengeneza bifu zisizo za maana??

Naichukia CCM kuliko kitu chochote kile.
Mkuu mimi naichukia ccm kuliko navyomchukia shetani
 
Huyo ni gaidi alikamatwa na mabomu akiwaongoza vijana 32 wakijiandaa kuleta taharuki Tanzania. Hata Marekani waliwaweka magaidi Quantanamol kwa muda wa zaidi ya miaka 10 bila kuwafikisha Mahakamani. Hivyo usishangae sana ni kawaida tu hapa duniani gaidi kushikishwa adabu kwa kuwa aliyataka yeye mwenyewe!
🖕🏿
 
Kwel
Kwa kifupi ni kwamba Mh Khamis Bakari ameuawa.
Inasikitisha mtu kuuwawa licha ya risasi hata kama ni kwa rungu na hata iwe kwa sababu yoyote, iwe uchaguzi, kufumaniwa, kuiba au kitu kingine. Kinachonishangaza ni kwamba marehemu kapigwa risasi moja mguuni kafa lakini yule kapigwa risasi 30 sehemu mbali mbali mguuni, kiunoni, mgongoni, tumboni sijui na wapi bado mzima. Hapa ndipo huwa kuna siri kubwa ya Mungu.
 
Ni kweli Mungu ana siri zake , lakini Lissu angeenda Muhimbili angeishazikwa kitambo sana ! si umeona aliko Ismaili Jussa ? huyu angeendelea kubaki hapa naye angekwenda na maji
 
Kwel

Inasikitisha mtu kuuwawa licha ya risasi hata kama ni kwa rungu na hata iwe kwa sababu yoyote, iwe uchaguzi, kufumaniwa, kuiba au kitu kingine. Kinachonishangaza ni kwamba marehemu kapigwa risasi moja mguuni kafa lakini yule kapigwa risasi 30 sehemu mbali mbali mguuni, kiunoni, mgongoni, tumboni sijui na wapi bado mzima. Hapa ndipo huwa kuna siri kubwa ya Mungu.

..Ni kweli ulichosema.

..kuna jamaa kijana, tena ni mwanamichezo, alipigwa risasi moja mguu akafariki.

..lakini tukumbuke kwamba Aboubakar Khamis Bakari alikuwa mtu mzima, miaka 69.

..hivyo siyo rahisi kuhimili msukosuko wa shambulizi la risasi ktk umri huo.

..jambo lingine linaloweza kuchangia linaweza kuwa ubora wa huduma za matibabu visiwani Zanzibar.
 
Au hata kuhujumu uhai wake kwa makusudi
 
Sasa unakataa hakukamatwa na mabomu na vifaa vya kuingilia mitandao ya ZEC na NEC? Mbona RPC alitoa press conference hiyo? Basi nenda kamwambie RPC kama alikosea??
Mabomu hayo ulimpa weye,shenzi kabisa,hivi ulimbukeni wa polisi hawa wmkamate na mabomu washindwe kuyaanika kwenye vyombo via habari,hivi inaingia akilini,mbona nyie mijitu munakuwa wajinga hivi. Kweli elimu ni shida kweli hapa tnz,mijitu inacoment utasema inatoka kuzimu.
 
Back
Top Bottom