usisahau hio idea ilianza kuonekana na htc m7 kwanza
![]()
so wanaigiliziana tu.
simu siku hizi innovation ni zero wamekazania tu kuigiliziana na kuongeza namba za core na ram
Sasa si zinafanana maumbo tu kila moja os yake
mimi pia mkuumi mbona sijaelewa hapo
Tusubiri iphone 7 mwakani.
Ya mwaka huu ina ukakasi kwa upande wangu.