Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,479
- Thread starter
- #21
Ko una lia kabisa🤣🤔Hujawahi kupenda mkuu.
View attachment 3382305
Ko una lia kabisa🤣🤔Hujawahi kupenda mkuu.
View attachment 3382305
Na kurusha baharini huwez kujua uhodari wa makombora yako mana hayalipuki vzr 😂Inasikitisha sana
Kibaya zaidi kila siku huwa anayarusha baharini tu
Kudadekii, ana tamani hata atukanwe🤣Inasikitisha sana
Kibaya zaidi kila siku huwa anayarusha baharini tu
Ni sawa na kurusha ngumi hewani, huwezi jua Kama Zina umiza🤣Na kurusha baharini huwez kujua uhodari wa makombora yako mana hayalipuki vzr 😂
NiniNusu albino Half american
Unajidanganya, West walimfuata miaka ya 1950s ila kilichowakuta hawatakaa na kusahau.Huyo ni wa kawaida TU nchi yake haina rasilimali muhimu west wanazoitaji la sivyo angeshagongwa mapema TU.
😂😂😂😂Hawa wote madishi 🤣