Mkuu kwakuwa umeuliza kibiblia ntajibu kibiblia
Waebrania 11:7
7
Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, aliunda safina, apate kuokoa nyumba yake. Na hivyo akauhukumu makosa ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani
Hivyo waandishi wa Biblia wanasema kwa IMANI hayo yote yaliwezekana ila kiuhalisia hayawezekani
Na kwenye issue ya safina Mungu alikuwa involved na Biblia inasema
Luke 1:37
37
kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
Hivyo kibiblia Mungu hashindwi kitu na ikimaanisha kama aliwaumba hao wanyama mwenyewe basi alikuwa na formula ya jinsi ya kuwakamata,kuwacontain wasiuane na pia kuwatoshesha wote kwenye safina.
Ila nje ya bible bado kuna controversy kama hii story ni ya kweli au mythology na nilishaliongelea humu
Je biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA? - JamiiForums
Ni hayo tu egyptologist mwenzangu