Je na wewe si fisadi....?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je na wewe si fisadi....??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 26, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280
  Yawezekana ufisadi ukawa ni hali tu ya kuzidiana mapato yasiyokuwa halali...watu wengi wako makazini majumbani...leohii dunia imebadilika wanaume wanaiba pesaza wake zao....ukiwa kama mdau uko kazini biashara hulipi kodi...je na wewe si mmoja wao na kama ndio njia ipi muafaka tusiwakaribie wale walioiba kwenye zile twins tower kuinusuru nchi....
  toa maoni yako
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kila mtu ni Fisadi, binadamu wameubwa na asili ya tamaa. Hata wewe ungepata nafasi na mamlaka lazima utafanya ufisadi tu!
   
 3. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Not true, kuna watu wengi tu walikuwa na madaraka bongo lakini hawakufisadi. Nyerere, Apiyo, Tungaraza na wengine wengi hawakuwa mafisadi hawa.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,568
  Trophy Points: 280
  Mwalimu hakuwa fisadi, Sokoine hakuwa fisadi na naamini kabisa kwamba kuna Watanzania wengi si mafisadi. Mimi kipato changu ni cha halali kabisa nalipa kodi chungu nzima nalalamika kwamba kodi ni kubwa mno lakini nafurahia sana standard ya hali ya juu ya maisha. Mabarabara mazuri, usafi wa hali ya juu, maji bwelele umeme wa uhakika n.k. Naamini pia kwamba kuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao wanaishi kwa vipato vyao halali bila kufanya ufisadi wa aina yoyote ile.
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hata wewe unayetumia muda wa kazi kuzurura hapa JF wakati watu wako hapo nje kwenye foleni wanangoja huduma yako ni fisadi!!.
  mie nafanya kazi internet c@fe msinilaumu jamani.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  safi sana BAK nimefurahishwa na jibu lako
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280

  mi mwajiriwa wa jf
   
Loading...