Je mwili kutoka harufu ya kukera ni ugonjwa?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Apr 20, 2008
277
548
Kuna watu ambao kwa asili yao wana harufu fulani ya tofauti ambayo kwa mtu mwingine inaweza kuwa ni ya kukera kwa kiasi fulani.

Mhusika au wahusika wengi wenye hali hii mara nyingi ni watu coloured (wasio weusi) au hawa tunawaita weupe na mara nyingi unakuta wao wenyewe hawana habari kama wanatoa harufu hiyo ambayo inawatatiza wengine.

Wataalam wa afya karibuni mtie neno kuhusu hali hii na nini kinaweza kufanyika kusaidia wahusika wa hali hii.
 
Ngoja waje
 
Wanakuja watu weupe
Kukupopoa
Na utapopoka ujute….

Inasemekanaga hivi mtaani kwa vijana wa hovyo, ila sijawahi notice chochote jamani.

Ila watu ni waongo
Hao uliokutana nao embu waambie waoge😂
 
Tunaongelea mambo ya afya mbona.

& sio kila mweupe ana hali hiyo.
 
Yaani watu weupe kuanzia sisi waafrika ila wale weupe pee wanatoa harufu ya kukera, albino wanatoa harufu ya kukera, wachina, wazungu wote wana harufu fulani inakera. Mwanzoni nilihisi peke yangu ndio naihisi hiyo harufu kumbe tupo wengi.
 
swadakta, wew umenielewa. ni harufu fulani hivi ngumu kuielezea hadi ukutane nayo.

kwa walio wengi harufu hii inavumilika (japo bado inakera) ila kuna wachache ambao ni ngumu kuvumilika.

Haiusiani na mtu kuwa ameoga au hajaoga.
 
Hata wewe kuna harufu unatoa inakera wengine ila nao wanakuvumilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom