Je mwezi umeonekana huko uliko?

Je mwezi umeonekana huko uliko?

Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Acha kuongea upuuzi na vitu usivyovijua Kaffir labda ni wewe mpuuzi . Unapajua ukafirini ?
 
Tunaomba kauli inayoeleweka

Tunahitaji kujua mwezi umeonekana au laaa??
 
Ndugu zetu waislamu Tuhabarishane kama kesho ni EID au Vip ili tujue tunaenda kibaruani au vip
 
Back
Top Bottom