mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Afghanistan wamekula Leo jumapili IDD tarehe 1 mwezi wa 5.
Na Mimi sijafunga leo
Na Mimi sijafunga leo
Wewe nimekupa Big up ,kuna watu wanafuta popote lakini wanabagua nchi hii haipo sawa na ndio sababu ya mimi kuanza kuanza kusikiliza Bakwata tu kwenye mwezi kutokana na kuona rai ya popote ina makandokando kama hayo mfano watu leo ilibidi iwe Iddi kama ukivyofanya ww.Afghanistan wamekula Leo jumapili IDD tarehe 1 mwezi wa 5.
Na Mimi sijafunga leo View attachment 2207819
We unakaa Maka? Lofa mkubwa weMwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Hizo dini za kuletwa kwenye majahazi ni shida, mijitu imekaa na sura za Shari tupuAfghanistan wamekula Leo jumapili IDD tarehe 1 mwezi wa 5.
Na Mimi sijafunga leo View attachment 2207819
Hizo dini za kuletwa kwenye majahazi ni shida, mijitu imekaa na sura za Shari tupu
Yuko sahihi, Nchi yoyote ambayo sheria zake hazizingatii dini nchi hiyo ni yakikafiri.Acha kuongea upuuzi na vitu usivyovijua Kaffir labda ni wewe mpuuzi . Unapajua ukafirini ?
Hivi ingetokea bara wameuona Zanzibar wangeendelea kufunga?Taarifa hii hapaView attachment 2207709
Wasingefunga!!!Hivi ingetokea bara wameuona Zanzibar wangeendelea kufunga?
Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Moja ya matatizo ya vijana wa ch@Dem@ ni hili.... upuuzi unaohusisha ukaskazini na udini. Jitahidini kuficha.Ukafirini? Astakhafirullah...!
Una hoja ila utararatibu ulishawekwa.Huo mwezi wa makka hatuujui mbona unapoonekana huku mwanzo hawafati km hujaonekana tunamalizia
...wewe ulitakaje labda?Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
kuna watu mna akili kubwa sana umu ndaniMufti ametoa tamko chanel ten mda huu.
Mwezi haujaonekana kesho tunafunga
Huyo anaishi Ukafirini, si unaona amesema huku UkafiriniWe unakaa Maka? Lofa mkubwa we
Chadema na ukaskazini vimetoka wapi katika mada hii?Moja ya matatizo ya vijana wa ch@Dem@ ni hili.... upuuzi unaohusisha ukaskazini na udini. Jitahidini kuficha.


