Je mwezi umeonekana huko uliko?

Je mwezi umeonekana huko uliko?

Uzi huu ni kwaajili ya kupeana updates za muandamo wa mwezi, ili tujue kama kesho ni siku ya kibaruani au mapumziko? Tuachane na habari za Bakwata. Je, huko ulipo wewe mwana jf mwezangu mwezi umeandama?
BAkwata Ndo sheria Kwa mujibh wa Katiba. Tunasubir tangazo lake
 
Kuna wale waliiotangulia kufunga ambao watu huwaita sunni leo wametimiza thelathini kwa hiyo kivyovyote Kesho ni Eid kwao . Kwa wenzangu na mimi tulio chelewa (tunaofuta matangazo ya mwezi kutoka Bakwata) leo 29 bado tunasikilizia tangazo kama mwezi bando basi Kesho inshaAllah mfungo unaendelea kukamilisha thelathini
 
Taarifa hii hapa
IMG-20220501-WA0024.jpg
 
Mkuu nyi endeleeni tu kufanga, ila mimi nikisikia mwezi umeandama popote pale duniani huwa nafunga

Na nikisikia umeandama popote pale duniani huwa nafungulia
Jana umeandama Afghanistan na nchi karibia tatu leo wanasherekea Eid vp wewe leo kwako ilikuwa Eid?
 
Kwani Leo ramadhani ya ngapi?
Na tumeanza kufunga lini?
Kumbuka mwezi wa kiislam una siku 30 tu mwezi uandame usiandame ikifika 30 mzito unashuka jamvini
Eid mubaarak kwa wote ambao wanaidi kesho na pia keshokutwa!,Allah atukubalie amali zetu njema na atuhifadhi...Amiin!!
 
Back
Top Bottom