Je Mwanaume unavutiwa na mavazi ya aina gani kwa mwanamke

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Mavazi ni sehemu muhimu ya kuonyesha unadhifu wa warembo.

Je wanaume wanavutiwa na mavazi yapi? hapa tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.

Wanawake wengi wanapenda sana kuvaa nguo zinazoweza kuvuta hisia kirahisi kwa wanaume.

Je hizi nguo ni kweli wanaume hawazipendi ama wanajifanya kuzichukia wakati mwingine huku wakitamani wanawake wavalie katika mavazi yatakayo weza kutoa picha halisi ya uzuri wa ndani wa mwanamke?

Mimi binafsi napenda mpenzi wangu avae nguo za kunivytia mpaka mimi na kunifanya nimtamani hata kama katoka kunipa tunda.
 
Dah.......mimi wangu anapenda niwe kwenye suti yangu ya kuzaliwa...........yaani hii ovaroli.......anazimia kabisa..........
real hata mie, yaani tena kama ni mrembo kila kona panavutia, he he he he he, ndo napendaaaaaaaaaaaaa
 
kitu dela banah.... yani ni mwendo wa kwachukwachu, af ukute kachomekea kwenye nanii pale kati!!!!
nb: flat screen hii haiwahusu
 
Je utapenda alivae nje ili walitamani wengine tunda lako?




Mavazi ni sehemu muhimu ya kuonyesha unadhifu wa warembo.

je wanaume wanavutiwa na mavazi yapi? hapa tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.

wanawake wengi wanapenda sana kuvaa nguo zinazoweza kuvuta hisia kirahisi kwa wanaume.

je hizi nguo ni kweli wanaume hawazipendi ama wanajifanya kuzichukia wakati mwingine huku wakitamani wanawake wavalie katika mavazi yatakayo weza kutoa picha halisi ya uzuri wa ndani wa mwanamke?

mimi binafsi napenda mpenzi wangu avae nguo za kunivytia mpaka mimi na kunifanya nimtamani hata kama katoka kunipa tunda
 
Back
Top Bottom