Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

sweetheart hiyo namba siyo kwa mimi..
umesahau yule rafiki yangu,ambaye anatafuta mchumba???

mimi na wewe ni inseparable.......

Rafiki gani we sawa tu, au ngoja nizidishe gharama manaake ushaanza tamaa my swthert wangu.
 
amejitahidia sana kuvumilia, 9 yrs! mie ningeshachoka zamani sana
 
mmm!! inasubiriwa hiyo tume itakayoundwa kapera ,,, kuna mtu kasema hajui kutafuta chake hapa ??, kwani umeambiwa yeye ni tegemezi???. si tegemezi hata kidogo ni independent woman lakin hapa anachoongelea na kesho na kesho kutwa, maisha gani ya kutokusaidiana??.
HIvi ufisadi ni nini kwako?? ina maana mwanaume kumhudumia mwanamke ni ufisadi???, na je mwanamke kumhudumia mwanaume ni nini???.
Jaribu kuelewa kinachoongelewa ndipo upate cha kuchangia kama huwezi kuchangia basi wewe soma na kukaa kimya,, hata kukaa kimya pia ni haki yako. Ila asante kwa mchango wako kapera.
 
Tena huyo amefanya kosa kubwa sana katika maisha yake huyo jamaa anamapenzi ya kweli kabisa na huyo dada anamapenzi ya pesa amekaa naye miaka tisa leo ndo ubahili unamshinda ana lake jambo huyo.

Wanawake tujifunze kujitegemea ana pesa halafu anataka za mwenzie za nini???


Goooooood avatared mom Dena.....ubahili na uchoyo ni tabia ambapo
bila mtu kuwa nazo hatuwezi kujifunza kama kuna watu wachoyo na
wabahili... halafu kikubwa zaidi ''they are theological God's creations'' hapa
nadhani ''religious philosophers'' watanielewa zaidi......

'labda unaweza kumwona mtu mchoyo na bahili ni kwasabau hata wewe
ni mroho hivyo labda wewe ndiyo kero zaidi.''
 
dah kweli?
kwaiyo ulikuwa umpiu ata sh kumi?
na ulkuwa unamuomba yeye daily?
cm mpk akuanze ....?
tupe swaga ulikuwa unafanyaje?
ili tukion skuingne tujue mhh i ni dalili za malaria

nlikua natoa kwa manati ile mbaya.. Ila is past ucogope, njo kwngu
 
Huyu jamaa anafaa sana maana nahisi uchoyo wake uko ktk damu.

Na kwa uchoyo wake huyu hawezi hata kumgawia penzi mwanamke wa nje maana jamaa ni mchoyo kikweli.

naona huyo dada amebahatika amng'ang'anie huyuhuyu.

Unajua wanaume vimwaga hachelei kugawia na wengine wa nje.

Nakushauri endelea naye na uchoyo wake ni faida kwako na mshukuru Mungu wapo wachache sana wa aina hii
 
Goooooood avatared mom Dena.....ubahili na uchoyo ni tabia ambapo
bila mtu kuwa nazo hatuwezi kujifunza kama kuna watu wachoyo na
wabahili... halafu kikubwa zaidi ''they are theological God's creations'' hapa
nadhani ''religious philosophers'' watanielewa zaidi......

'labda unaweza kumwona mtu mchoyo na bahili ni kwasabau hata wewe
ni mroho hivyo labda wewe ndiyo kero zaidi.''


Halafu na wewe ulikuwa wapi bana kuleta mapoint kama haya??? Ngoja nikutendee haki sawa eehhh??? Hebu soma hapa chini pameandikwaje vile????

The Following User Says Thank You to Societa Jesuit For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Huyu jamaa anafaa sana maana nahisi uchoyo wake uko ktk damu.

Na kwa uchoyo wake huyu hawezi hata kumgawia penzi mwanamke wa nje maana jamaa ni mchoyo kikweli.

naona huyo dada amebahatika amng'ang'anie huyuhuyu.

Unajua wanaume vimwaga hachelei kugawia na wengine wa nje.

Nakushauri endelea naye na uchoyo wake ni faida kwako na mshukuru Mungu wapo wachache sana wa aina hii


Usichelewe sana na wewe bana mapoint kama haya hayafai kuwa ya mwisho mwisho soma hapa chini pameandikwa???

The Following User Says Thank You to Mpasuajipu For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Haya mpasua majipu , nimesoma maoni yako ETI KUTOKANA NA UCHOYO WAKE HAWEZI KUGAWA PENZI HATA KWA MTU WA NJE,KNN ASIGAWE AU ATAKUWA ANAOGOPA GHARAMA??? lol, lakin yaweza yakawa na ukweli ndani yake..... asante.
 
JIBU LAKO NAONA LIMEMKUNA KWELI DENA ,,lol,
HONGERA DENA KWA KUPATA SUPPORT......
 
Ila hapo kwenye uroho sikubaliani napo hata kidogo, huyu dada hana hata chembe ya uroho......na ndiyo maana hata ambapo yeye hakuhudumiwa yeye aliendelea kutoa huduma,,,hivi mroho huwa anagawa??? Mroho huwa hagawi hata siku moja yeye siku zote ni mpokeaje,,chake chake na cha mwenzie pia chake huyu ndiyo mroho.
 
Kichwangumu umesema ni mshamba,,,ina maana washamba wote hawahudumii wapenzi wao???
Hivi ni nini maana ya mshamba???, kuna mtu asiye mshamba kweli????,

mi nilidhani mshamba ni mtu asiyejua baadhi ya vitu. Je kuna mtu anayejua kila kitu???
 
LADY N,
afadhali wewe umekuwa muwazi uliyesema usingeweza kuvumilia miaka tisa, yeye amevumilia ksb anampenda na alidhani labda atabadilika kesho,lakin kesho ikawa kesho mpaka imetimia miaka tisa na miezi kadhaa anaona hakuna mabadiliko ya huduma, mabadiliko yaliyopo ni hayo na kutaka kufunga pingu za maisha. Hapo sasa ndiyo woga umemwingia je itakuwaje akimwachia gharama zoooooote ahudumie mwanamke peke yake na huwenda familia ikaongezeka ya watoto wao na huduma zote akaachiwa mama kisa eti anajiweza kimapato.
 
njema DENA, habari ? ,nafurahi umepata support japo mwanzo haukupata support hata moja
 
nilishindwa kutoa salaam ksb sikufahamu kama upo on line muda huu, SAMAHANI KWA HILI.
 
Back
Top Bottom