Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

hahaha!dena huyu dada alivumilia sana mi nadhani mwezi ungetosha mwezi wa 2 ningempa kama bonus,,,,hafai najua hata wewe unajua hivyo,,lolz
<br />
<br />

Mie nawashangaa sana miaka tisa kacumilia leo yamemkuta yapi??
 
wanaume hawa mnawatoa wapi???????

mbona wengine hatuwapati hao wanawake wa kujigharamia kila kitu??????????

where???????????
 
<br />
<br />

Mie nawashangaa sana miaka tisa kacumilia leo yamemkuta yapi??

ndiyo ublind wenyewe huo maskini labda alijipa moyo atabadilika kumbe mwenzie si wa hivyo!! Cpati picha ubahili+uchoyo=:help:
 
mmmh!
Mdada ameshamjua mkaka hako katabia kwa miaka 9. Inawezekana mkaka amuhudumii mdada akihisi kwamba mdada atamuacha hivyo atakuwa amepoteza pesa zake.
Ni tabia mbaya sana ila mdada asitegemee akiolewa mambo yatabadilika. Nina mfano mmoja unaohusiana na ishu kama hii.
Kila binadamu ana mapungufu yake inawezekana hayo ni mapungufu ya jamaa.
Inawezekana pia jamaa hana upendo na anamtajia habari ya ndoa kama kuzuga tu. Ni kwanini ndugu zake hawafanyii huo uchoyo! Huyo ni mtu anayefanya makusudi. Akishamuoa nahisi hata ndugu zake atamuachia huyo mdada ndio awahudumie. Uamuzi anao mdada mwenyewe ila asiolewe kwa kutegemea mr atabadilika. Ajiandae kwa majukumu yote ya familia yake.
Mpe hongera kwa uvumilivu. Mimi mwaka tu sijui kama ungeisha.
 
DENA UNAONESHA NAWE NI MIONGONI MWA WATU WASIOTOA, WEWE NI MPOKEAJI TU......UNAENDA KUMWONA MGONJWA HATA CHUNGWA LA SH 100 HAUBEBI ETI KSB UMEENDA KUMWONA, HALAFU NI KILA MARA si mara moja ni mara zote ikiwa wewe ukimwa mtu anakuja na Bill zako baadhi anakulipia na huduma zote za mali na hali anakupa, iweje wewe usijitoe japo mara moja kwa mwaka ikiwa pesa unayo......aaah DENA acha hizo, hata fyekeo halifyeki upande mmoja loo...
kumbuka NDOA siyo uchumba, pia siyo jambo la kujaribu na jambo la kuamua.
Lakin asante kwa mawazo yako, nayaheshimu japo SIKUBALIANO NAYO HATA KIDOGO,
 
Dena,rose 1980,the boss, husninyo,wiselady, asanteni sana kwa michango yenu,,ila naendelea kusubiri mingine, endeleeni kuchangia, ulizeni maswali yote mtapata majibu,,,,nilitoka kidogo ndiyo maana sikuwa on line..

Nasubiri na michango mingine toka kwa jf wengi ne wengi zaidi, mfano mamammia, ld, michelle,kakakiiza, sussy,gaga,lizzy,blackwoman,fide,washawasha,afrodenzi,bubuatakusema,kapotola,mpasua majipu,klolokwin, na wengine wote wanajf....
 
SEMA WEWE MAMUSHKA,,ETI HATA PIPI YA SH 10?? mmmh!!
 
Miaka tisa ni mingi kwa kijana kama huyu, mi nadhani miezi mitatu isingepita, khaaaa, kuna mwingine walikua wakienda gest mkaka anamwambia wanatoa hela ya kulipia nusu kwa nusu, yani maisha ni Pasu kwa Pasu. Mmmmh sasa huyu si ndo kazidi kabisa, khaa si bora awe peke yake tu huyo dada. Mmmmh mwanaume wa hivi apite kushoto.
 
mwambie heri nusu shari,kashavumilia vya kutosha atue mzigo sasa wanaume wa mungu wako wengi,,,,huyo akiingia nae kny ndoa ataweka mikono kichwani

na ataongea pekeake akiwa amevaa malapa, akienda kwa mama mkwe ataambiwa hata mi hivyo hivyo.
 
Dena hasemi kweli huyo eti anasema mapenzi siyo pesa...ni kweli lakin jamani boyfriend anajifanya tax driver kila safari ujaze mafuta yeye ana muda wa kukupeleka tu, lakin pesa ya mafuta hana......mi nakubaliana na aliyesema labda hana mapenzi ya kweli.

HUYU DADA HATAKI AHUDUMIWE KWA KILA KITU KSB HANA YEYE ANA UWEZO WAKE,,ILA ANACHOTAKA NI SUPPORT PALE INAPOBIDI, huwa anaona wivu pindi anasikia wanawake wenzie wasisimulia kuwa mume au boyfriend wake kamnunulia japo leso ya sh 500,, ksb hajawahi kuipata toka kwa boyfriend wake japo ni mtoaji mzuri sana kwa huyo boyfriend wake.
 
just out of experience, asijaribu kuolewa na mtu wa aina hiyop, atajuta....ana bahati amekaa naye muda mrefu na kumsoma.
au niiweke hivi..... ana bahati amepata wasaa wa kumjua ipasavyo kabla hajaolewa, kilichobaki ni afanye uamuzi kama ataweza kujilipia hadi fee za clinic wakati wa kujifungua, kununua maziwa ya mtoto na kumtibu anapoumwa, na hata kusomesha watoto, akijiona hayo atayamudu bila kuumia roho aolewe, na kama anajua hataweza kuvumilia aache, lakini asitegemee kuwa jamaa atabadilika. nine years should be long enough for her to realize what kind of a man she has.
 
kuna raha yake kupokea japo pipi ya sh 2o tu,,unafurahi na kuona mpenzi kweli anakujali.
 
CARMEL amekuelewa bahati nzuri yupo hapa anasoma maelezo yako,,asante kwa mchango wako.
 
just out of experience, asijaribu kuolewa na mtu wa aina hiyop, atajuta....ana bahati amekaa naye muda mrefu na kumsoma.
Au niiweke hivi..... Ana bahati amepata wasaa wa kumjua ipasavyo kabla hajaolewa, kilichobaki ni afanye uamuzi kama ataweza kujilipia hadi fee za clinic wakati wa kujifungua, kununua maziwa ya mtoto na kumtibu anapoumwa, na hata kusomesha watoto, akijiona hayo atayamudu bila kuumia roho aolewe, na kama anajua hataweza kuvumilia aache, lakini asitegemee kuwa jamaa atabadilika. Nine years should be long enough for her to realize what kind of a man she has.


miss u much...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom