Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

ha ha ha ha h, the BOSS yamekuwa haya tena,,
anauliza eti unataka namba ya cm ya nini???
umetufurahisha sana,,
 
ha ha ha ha h, the boss yamekuwa haya tena,,
anauliza eti unataka namba ya cm ya nini???
Umetufurahisha sana,,

namba ya simu.
Kwa sababu natafuta wanawake
wa kujilipia na kujigharamia wenyewe....
For a change...
Mimi nimezoea kugharamia kila kitu,
naanza kuhisi labda mimi *****..lol
 
LD umesema kweli, yeye alimvumilia akijua ipo siku atabadilika na hiyo ni kutokana na upendo alionao kwa huyo mpenzi wake.
ILA majibu ya Mama mkwe (japo siyo rasmi) yalimkatisha tamaa kuwa hata yeye hajawahi kuhudumiwa na MUmewe ,pia gharama zote za watoto ni juu yake isipokuwa mambo ya shule tu.
sasa maisha ya sasa yalivyo magumu wanandoa msiposaidiana itakuwaje??? eti huduma zote uachiwe mwanamke kisa unajiweza,,, hii ni haki kweli????
 
mmmh!! hapo kuna utata kidogo.

YEYE KUJIGHARIMIA HAONI SHIDA KSB KIPATO CHAKE KINAMWEZESHA KUFANYA HIVYO,ILA BADO ANA WASIWASI KSB KUNA LEO NA KESHO.
PIA KUTOA NA KUPOKEA NADHANI NI SEHEMU YA MAHUSIANO,

ENDELEA KUCHANGIA KATIKA HILI ILI UENDELEE KUMWELEWESHA HAYO YA CM ANAONA KAMA YAPO NJE YA MADA lol
 
DENA kaelewa sana ila hapa leo kaamua tu kujifanya haelewe, lol.
 
Miaka tisa ni mingi kwa kijana kama huyu, mi nadhani miezi mitatu isingepita, khaaaa, kuna mwingine walikua wakienda gest mkaka anamwambia wanatoa hela ya kulipia nusu kwa nusu, yani maisha ni Pasu kwa Pasu. Mmmmh sasa huyu si ndo kazidi kabisa, khaa si bora awe peke yake tu huyo dada. Mmmmh mwanaume wa hivi apite kushoto.

ld nimecheka kwa sauuuuuti!khe,,,,wacha nisiseme,,huyo ningempa wiki moja,,siku 2 za bonus then ciao!
 
SEMA WEWE MAMUSHKA,,ETI HATA PIPI YA SH 10?? mmmh!!

Mi nishakutana na wahivyo japo alikua ndo anaanza kunitoke, akapeleka wadogo zangu club 2 na friend yao 1 wametoka chuo, akalipia 1 then akajikausha madogo ndo wakamywesha mpaka wakarudi wakati yeye ndo kawatoa na anaona madogo ni wanafunzi, walivokua wakiadithiana nikaskia nikapiga kimya, ikawa kila nikikutana nae akianza kueleza matatizo yake na mimi na nalalamika matatizo afu najidai na majukum hahaa kilasiku mpaka akakimbia mwenyewe nikaendelea kula raha mie, tulikutana wote tukaleteana usanii.
 
wanawake wa aina hii wapo tena wengi, wapo ofisini, chuoni, yaelekea hata hapo jirani kwako wapo ila ujawatambua.
Wanawake karne hii wanajitegemea wengi sana,,maisha yenyewe ya sasa hivi hayaruhusu utegemezi hata kidogo, ni lazima KUSAIDIANA.
 
HA HA HA HAHA HA, da!! hiyo safi sana MAMUSHKA bora ulishtuka mapema....
 
BORA HUYO ALIWATOA WADOGO ZAKO HATA MARA MOJA, HUYU HAJAWAHI KUMTOA OUT KWA MIAKA YOTEizo 9.....NI MWANAMKE TU NDIYO ANAMTOA MWANAUME na wakienda wote wanaenjoy sana sana,ksb kwenye suala la uchangamfu mwanaume analo kwa 100%, upole lakin kwa maneno,kujitoa lakn muda wake tu. ila pesa mmm!!! hiyo HATOI KABISAAAAAAAA.
Muda wa kuwa pamoja na huyu mwanamke anao tena mwingi sana, tatizo ni huo uchoyo na ubahili.
 
BORA HUYO ALIWATOA WADOGO ZAKO HATA MARA MOJA, HUYU HAJAWAHI KUMTOA OUT KWA MIAKA YOTEizo 9.....NI MWANAMKE TU NDIYO ANAMTOA MWANAUME na wakienda wote wanaenjoy sana sana,ksb kwenye suala la uchangamfu mwanaume analo kwa 100%, upole lakin kwa maneno,kujitoa lakn muda wake tu. ila pesa mmm!!! hiyo HATOI KABISAAAAAAAA.
Muda wa kuwa pamoja na huyu mwanamke anao tena mwingi sana, tatizo ni huo uchoyo na ubahili.

honestly huyo jamaaa namu admire kwa ujasiri na kujikausha hivyo....
mimi nna aibu mno.mwanamke akilipa hata soda
i feel guilty.........

that guy is my hero lol
 
Yeye hataki mahusiano mapya kipindi hiki kwa hiyo hawezi kutoa # ,
ameomba msaada wa kusaidiwa katika hili la uchoyo na ubahili kwa huyo mwanaume.
Lakin kutoa namba kwa ajili ya mahusiano mengine hapana,
kumpenda anampenda mwanaume asingekuwa hana uchoyo na ubahili naamini asingetoa thred hii muichangie.

Anaomba uchangie tu, lakin namba ya cm usiombe ni nje ya mada.
 
Safi sana the boss,,,
mwanamke kumuhudumia mwanaume wala siyo dhambi, ila sasa isizidi kila siku uhudumiwe wewe tu....kwa ahadi kuwa utamuhudumia mwanaume mkioana,,,,mbona mwanamke yeye anakuhudumia hasubiri mpaka muoane...

Umeanza kurudi kwenye mada asante the boss.
 
Pas yawezekana upo sahihi hapendwi, lakin pia anampenda ila urithi wa tabia toka kwa baba yake unamsumbua.
Unajua sometimes watoto wanaiga jinsi wazazi wao wanavyoishi.
Mi naona huyo mwanaume hajawahi kumwona baba yake akimnunulia mama yake zawadi, au baba akimhudumia mama, pia yawezekana hata baba yake kamwambia mtoto wangu mwanamke ahudumiwi bali ujihudumia mwenyewe kwa kila kitu, kwa hiyo anaona ni kawaida tu kwa mwanaume kutomuhudumia mwanamke. Amini asiamini vitu vingi sana watoto wanaiga toka kwa wazazi wao.
 
usiseme mwanaume mchoyo kwani wewe huwezi jitafutia huo ni ufisadi ,tafuta chako alafu uone kama atakuwa mchoyo.
pe patriotic its a grobal world tafuta chako upewe heshima but usiwa fisadi tutakuundia tume.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom