Je, mwanaume huwa anakosea?

Toosie Slide

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
786
946
Habari za wakati huu.
Kutokana na kichwa cha habari kinavyojieleza, na haya ni maoni yangu...

Kikawaida imezoeleka kwamba katika jamii tumejengewa dhana potofu kuwa kila binadamu anakosea. Hii inafanya wakati mwingine mtu aogope kufanya jambo akihofia kukosea, maana anafikiria kama akikosea jamii itamuonaje.

Hapo ndipo tunapoona jamii ikigawanyika kwa walionacho na wasionacho.
Nadhani mpaka hapo hakuna ubishi.

Kiuhalisia katika jamii yetu tunayoishi inaonekana wazi kabisa kwamba mwanaume hakosei, mwanaume hutenda/hufanya jambo kwa usahihi kabisa kuliko wanawake .

Na wanawake ndio wanafanya mwanaume aonekane kwamba anakose kitu ambacho sio sahihi/kweli.
Kwa iyo Kama mwanaume akifanya jambo/kitu ujue kuna sabab ya msingi sana tena ya kimaendeleo.
We are not the same
 
Nikupe mfano: Kwahiyo JPM vyote anavyofanya hakosei...

Kila mtu anakosea tusiteteane kijinga
 
Aisee basi kama wanaume hawakosei basi wao sio binadamu bali ni wanyama kutoka kingdom animalia maana hata wao huwa hawakisei.
 
Aisee basi kama wanaume hawakosei basi wao sio binadamu bali ni wanyama kutoka kingdom animalia maana hata wao huwa hawakisei.

Nyie wanawake kwa kutumia wingi wenu ndo mnasema ivyo
Mungu mwenyewe anajua hilo ndo mana hakuna nabii wala mtume wa kike
 
Back
Top Bottom