Je, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni bush lawyer? amejisahau? anapotosha? au anahitaji elimu?

Bwana Albashiri safari hii kashikwa pabaya sana, namuona kwa mbaali anatetemeka. Kile kibri eti nakuteua mimi nakupa gari na mshahara halafu unamtamgaza mwingine tunakikomesha. Sisi wananchi ndio tunao kulipa mshahara wewe Albashir na hao unao wateua pesa sio zako hicho kbri unatoa wapi?

Albashir alikuwa anatamba na kujigamba kuwa kwa kushirikiana na Majizi na fedhuri haya ambayo sasa mwisho wenu umefika.
 
Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu "stay of execution" ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!
Hujaona nakala ya hukumu,unatoa mapovu
Unasemaje kuhusu hukumu ya kesi ya mtikila dhidi jamhuri kuhusu mgombea binafsi,na mahakama ilitamka kuzuia mgombea binafsi ni kinyume cha katiba,kwa hiyo ikawa ruksa kwa mgombea binafsi
Mpaka sasa kuna chaguzi tatu zimepita hakuna cha mgombea binafsi wala mgombea asie na.chama,unasemaje kuhusu hilo?
 
Hujaona nakala ya hukumu,unatoa mapovu
Unasemaje kuhusu hukumu ya kesi ya mtikila dhidi jamhuri kuhusu mgombea binafsi,na mahakama ilitamka kuzuia mgombea binafsi ni kinyume cha katiba,kwa hiyo ikawa ruksa kwa mgombea binafsi
Mpaka sasa kuna chaguzi tatu zimepita hakuna cha mgombea binafsi wala mgombea asie na.chama,unasemaje kuhusu hilo?
Rejea reply number 45 utakuta tahadhari ya "NOTA BENE".
 
Hiyo ouster clause lipo kwenye kifungu gani ndugu? Pitia hii section 13(2) of Basic Rights and Duties Enforcement Act alafu urudi tena na hizi propaganda zako za ouster clause! Inasomeka hivi:

"Where an application alleges that any law made or action taken by the Government or other authority abolishes or abridges the basic rights, freedoms or duties conferred or imposed by sections 12 to 29 of the Constitution and the High Court is satisfied that the law or action concerned to the extent of the contravention is invalid or unconstitutional, then the High Court shall, instead of declaring the
law or action to be invalid or unconstitutional, have the power and the discretion in an appropriate case to allow Parliament or other legislative authority, or the Government or other authority concerned, as the case be, to correct any effect in the impugned law or action within a specified period, subject to such conditions as may be
specified by it, and the law or action impugned shall until the correction is made of the expiry of the limit set by the High Court, whichever be the shorter, be deemed to be valid."
Very well articulated!
 
Si nasikia jamaa hana sifa ya kushika huo wadhifa.

Na pia nasikia kafunguliwa kesi ya kupinga uteuzi wake.

Kama yote ni sawa basi magu anakazi,na mama Tanzania pia anakazi.
He is an illegitimate AG maana kateuliwa kiujanja ujanja!
 
Hahahaha...kwakweli tuna madubu nchi hii. Can you imagine mtu anafaanisha wingu na mbinguni?

Nilikuwa ninashida na wanaoingia CCM, kumbe hata waliopo huko wakitokea kwenye taaluma bado ni vibuyu.

Hawa wasiojua Null and Void ndio wanaotuulia wakina Aquilina na kupoteza wakina Azory.
This is a totally different case! Mahakama haijatoa muda kwa bunge kubadilisha vifungu, isipokuwa IMEVIBATILISHA!

Sheria ikishabatilishwa inakuwa mfu!

Wewe unachokisema ni kile kilichofanyika kwenye case ya umri wa kuolewa kwa mtoto ambapo mahakama ilitoa muda kwa bunge kurekebisha sheria! Haikubatilisha vifungu!

NB: Mara nyingi huwa sipendelei sana kujadili issues na wanasiasa! Do the needful and QUIT!
 
Hamjajiuliza ni kwa nini kila siku serikali inapigwa chini vyesi vyake! Kama wanasheria wake wako hivi what do you expect? Tunaunda TAIFA la sina yake. Watu hawatumii elimu bali wanapokea amri kutoka ahera. Tutajuta kwa maagizo yasiyofuata katiba lakimi
 
Kwahiyo kwa Mboye ilibidi rufaa imalize kusikilizwa ndio wawe huru ila kwa hukumu hii hakuna kinachosimama. Nchi hii tunaelekea wapi?
 
we ni wa chama gani ambae hujui kwamba maamuzi au hukumu ya mahakama ya chini huendelea mpka pale mahakama ya juu itakavotoa maamuzi, Jamaa yupo sahihi kbisaa mwanasheria Mkuu alidanganya ww unaanza kuleta mambo ya vyama yani nchi za ki africa kazi ipo aisee........jitu kama hili sijui kwann condom hazikufanya kazi
Mkuu,mazao ya mikesha ya mbio za mwenge hayo,ni laana kwa ardhi.
 
Hahahaha...kwakweli tuna madubu nchi hii. Can you imagine mtu anafaanisha wingu na mbinguni?

Nilikuwa ninashida na wanaoingia CCM, kumbe hata waliopo huko wakitokea kwenye taaluma bado ni vibuyu.

Hawa wasiojua Null and Void ndio wanaotuulia wakina Aquilina na kupoteza wakina Azory.
Hao ni wapiga gitaa tu wanasubiri kulishwa kwa hisani ya baba yao kama makinda ya ndege!
 
Huyu mtu walimtoa wapi!? He looks so incompetent, you can say that again!

Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu "stay of execution" ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!

Lakini si kila rufaa zote zinasimamisha hukumu ya mahakama! Hukumu ya mahakama haiwezi kusimama endapo pana UVUNJIFU ENDELEVU WA KATIBA AU SWALA LILILOTOLEWA UAMUZI. (Hilo limeshazungumzwa kwenye sheria ya bradea na authorities nyingi za kimahakama)

Nimemuona jana anazungumza vitu vya hovyo hovyo nikajiuliza huenda ni kwasababu hata yeye mwenyewe yuko kwenye hicho kiti kimagumashi bila qualifications????

Kama amezungumza hayo with 'genuine ignorance' basi kuna haja ya nchi kufanya vetting stahiki kuepuka kubeba makapi! Lakini kama anapotosha kwa makusudi ajue kuwa anafanya UHAINI wa kupindisha amri ya mahakama (which is a CRIMINAL OFFENCE)! Let him be advised to be smart.....ataaibika!!

Zuio la mahakama kuu liko pale pale mpaka rufaa itakaposema vinginevyo!
CAR2MWA!!!
 
Back
Top Bottom