Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,191
- 12,368
acha ungese bhanaMxieeew, si amesikika mwenyewe huyo AG wenu mburula akizungumza sasa source gani unataka? Au na wewe ni wale wale kundi la wajinga mlioamua kujivika ujinga makusudi
acha ungese bhanaMxieeew, si amesikika mwenyewe huyo AG wenu mburula akizungumza sasa source gani unataka? Au na wewe ni wale wale kundi la wajinga mlioamua kujivika ujinga makusudi
Clueless arsehead, FU!acha ungese bhana
Hivi hakuna namna ya kumburuza mahakamani huyu kilangi kwa kujaribu kuipinga hukumu halali ya mahakama kijiweni , ili iwe fundisho kwa wengine ?
Sheria ipi ya bunge inasema DED shall be NEC returning officers? Please help.Kwa sasa mahakama haina power yoyote ya ku nullify sheria iliyotungwa na bunge kwani tayari bunge lilikwisha lilishaweka "ouster clause" na hivyo itakuwa bado ni sheria halali mpaka pale bunge litakapo ona yafaa kubadilisha baada ya kupata maoni kutoka mahakamani. Hivyo kama mahakama ilivyo na wivu na nguvu zake hai kadhalika bunge lina wivu mkubwa sana seria zake kudhihakiwa mahakamani kwa tusi liitwalo null and void
This is a totally different case! Mahakama haijatoa muda kwa bunge kubadilisha vifungu, isipokuwa IMEVIBATILISHA!Hukumu ya mahakama haitekelezeki mpaka bunge libadili sheria inayo wapa nguvu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.... hivyo basi mwanasheria mkuu wa serikali yuko right kabisa...
Ww na ww kama ni mhaya basi ni poyoyo!!, kwani bila Wakurugenzi uchaguzi haufanyiki??Hukumu ya mahakama haitekelezeki mpaka bunge libadili sheria inayo wapa nguvu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.... hivyo basi mwanasheria mkuu wa serikali yuko right kabisa...
Upo vizuri wakili msomi.This is a totally different case! Mahakama haijatoa muda kwa bunge kubadilisha vifungu, isipokuwa IMEVIBATILISHA!
Sheria ikishabatilishwa inakuwa mfu!
Wewe unachokisema ni kile kilichofanyika kwenye case ya umri wa kuolewa kwa mtoto ambapo mahakama ilitoa muda kwa bunge kurekebisha sheria! Haikubatilisha vifungu!
NB: Mara nyingi huwa sipendelei sana kujadili issues na wanasiasa! Do the needful and quit!
Huyu mtu walimtoa wapi!? He looks so incompetent, you can say that again!
Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu "stay of execution" ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!
Lakini si kila rufaa zote zinasimamisha hukumu ya mahakama! Hukumu ya mahakama haiwezi kusimama endapo pana UVUNJIFU ENDELEVU WA KATIBA AU SWALA LILILOTOLEWA UAMUZI. (Hilo limeshazungumzwa kwenye sheria ya bradea na authorities nyingi za kimahakama)
Nimemuona jana anazungumza vitu vya hovyo hovyo nikajiuliza huenda ni kwasababu hata yeye mwenyewe yuko kwenye hicho kiti kimagumashi bila qualifications????
Kama amezungumza hayo with 'genuine ignorance' basi kuna haja ya nchi kufanya vetting stahiki kuepuka kubeba makapi! Lakini kama anapotosha kwa makusudi ajue kuwa anafanya UHAINI wa kupindisha amri ya mahakama (which is a CRIMINAL OFFENCE)! Let him be advised to be smart.....ataaibika!!
Zuio la mahakama kuu liko pale pale mpaka rufaa itakaposema vinginevyo!
[/QUOT
Hii taarifa imeshatolewa na Fatuma karume.au wewe ndiyo Fatuma mwenyewe
Yapo kushangilia ujinga bila kujua loloteThis is a totally different case! Mahakama haijatoa muda kwa bunge kubadilisha vifungu, isipokuwa IMEVIBATILISHA!
Sheria ikishabatilishwa inakuwa mfu!
Wewe unachokisema ni kile kilichofanyika kwenye case ya umri wa kuolewa kwa mtoto ambapo mahakama ilitoa muda kwa bunge kurekebisha sheria! Haikubatilisha vifungu!
NB: Mara nyingi huwa sipendelei sana kujadili issues na wanasiasa! Do the needful and QUIT!
Jibu lako lipo kwny section 13(2) of Basic Rights and Duties Enforcement Act. Swala la sheria inayoenda kinyume cha Katiba kuendelea kutumika mpaka pale itakapobadilishwa na Bunge, ni utashi wa mahakama kusema hivyo. Kama mahakama imevifuta bila kutoa muda, hakuna kinachosubiri Bunge ndo vinakuwa vimekufa kibudu kama kwenye kesi hii. Kifungu kinasomeka hivi:Hukumu ya mahakama haitekelezeki mpaka bunge libadili sheria inayo wapa nguvu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.... hivyo basi mwanasheria mkuu wa serikali yuko right kabisa...
Hiyo nafasi aliteuliwa kwa upendeleo,hajakidhi vigezoHuyu mtu walimtoa wapi!? He looks so incompetent, you can say that again!
Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu "stay of execution" ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!
Lakini si kila rufaa zote zinasimamisha hukumu ya mahakama! Hukumu ya mahakama haiwezi kusimama endapo pana UVUNJIFU ENDELEVU WA KATIBA AU SWALA LILILOTOLEWA UAMUZI. (Hilo limeshazungumzwa kwenye sheria ya bradea na authorities nyingi za kimahakama)
Nimemuona jana anazungumza vitu vya hovyo hovyo nikajiuliza huenda ni kwasababu hata yeye mwenyewe yuko kwenye hicho kiti kimagumashi bila qualifications????
Kama amezungumza hayo with 'genuine ignorance' basi kuna haja ya nchi kufanya vetting stahiki kuepuka kubeba makapi! Lakini kama anapotosha kwa makusudi ajue kuwa anafanya UHAINI wa kupindisha amri ya mahakama (which is a CRIMINAL OFFENCE)! Let him be advised to be smart.....ataaibika!!
Zuio la mahakama kuu liko pale pale mpaka rufaa itakaposema vinginevyo!
Hiyo ouster clause lipo kwenye kifungu gani ndugu? Pitia hii section 13(2) of Basic Rights and Duties Enforcement Act alafu urudi tena na hizi propaganda zako za ouster clause! Inasomeka hivi:Kwa sasa mahakama haina power yoyote ya ku nullify sheria iliyotungwa na bunge kwani tayari bunge lilikwisha lilishaweka "ouster clause" na hivyo itakuwa bado ni sheria halali mpaka pale bunge litakapo ona yafaa kubadilisha baada ya kupata maoni kutoka mahakamani. Hivyo kama mahakama ilivyo na wivu na nguvu zake hai kadhalika bunge lina wivu mkubwa sana seria zake kudhihakiwa mahakamani kwa tusi liitwalo null and void
Tafsiri ya sheria husika imeshatolewa na ni kandamizi, sasa inapata wapi judiction ya kutekelezeka?Hukumu ya mahakama haitekelezeki mpaka bunge libadili sheria inayo wapa nguvu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.... hivyo basi mwanasheria mkuu wa serikali yuko right kabisa...