Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,804
Huu mjadala nimekutana nao sehemu ya kazi.
Kwamba idadi kubwa ya wa wadada tunakuwa na mtu mmoja (mwanamme) ambaye tunaambiana matatizo yetu zaidi kuliko tunavyowahusisha wapenzi wetu.
Na huyu rafiki hajulikani kwa mwenza wako.
Kwanini hutokea hivyo?
Je unafikiri ni vyema kufanya hivyo?