Elections 2010 Je Mwalimu Nyerere angeogopa Mdahalo wa Urais (debate) na wapizani?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,606
8,744
kama Mwalimu nyerere angekuwa raisi wa Tanzania leo hii je angeogopa mdahalo na wapinzani? kama Kikwete?
 
Aaah wapi...sidhani hata kidogo kama angekacha. Sijui kama alikuwa debater mzuri au vipi lakini kukacha.....I doubt it
 
jamani kuweni serious.... hapa naungana na JK, sioni haja ya mdahalo... nchi hainapati manufaa yoyoe na hii midhalo hasa ukizingatia kuwa waTZ wengi hawafuatilii mijadala na hawachagui mtu baada ya kupima mipango na intelligence yake... kama mnataka slaa ashinde basi achaneni kabisa na hii midahalo, lipumba anaing'ang'ania ili auze uprofessor wake kwa waTZ wasiou-mind!!!!!!!!!!! kaazi kwelikweli..., jiulizeni ule wa 19985 ulitusaidia nini kabla hamjaendelea kung'ang'ania huu wa sasa...
 
jamani kuweni serious.... hapa naungana na JK, sioni haja ya mdahalo... nchi hainapati manufaa yoyoe na hii midhalo hasa ukizingatia kuwa waTZ wengi hawafuatilii mijadala na hawachagui mtu baada ya kupima mipango na intelligence yake... kama mnataka slaa ashinde basi achaneni kabisa na hii midahalo, lipumba anaing'ang'ania ili auze uprofessor wake kwa waTZ wasiou-mind!!!!!!!!!!! kaazi kwelikweli..., jiulizeni ule wa 19985 ulitusaidia nini kabla hamjaendelea kung'ang'ania huu wa sasa...

Kwani hata huo uchaguzi toka 1995 umetusaidia nini?
 
Je Mwalimu Nyerere angeogopa Mdahalo wa Urahisi (debate) na wapizani

usiwe unakurupuka kuandika ingia madarasa kwanza ndo uje kupost vizuri
 
Mwalimu hakuwa mwonga ,toka ujana wake hadi kifo chake.Lakini angeweza kupuuza mambo fulani kama anaona ni ya kijinga au hayana maana.
 
Mwalimu badala ya kufanya mdahalo angewafanya kama alivyowafanya Kasela Bantu na Kasanga Tumbo.Alikuwa na ZERO tolerance na wapinzani katika muda wote wa miaka 20 na ushee kwenye regime yake.
 
Hivi nyie mna short memory?????

Nyerere aliitwa Ambiliki kwa sababu uwezi kumpinga anachosema wala hashauriki, aliendesha nchi kama chief wa kijiji ni dicteter na bully asie kubali challenge yoyote

Nyerere alishika hatamu sisi wote tulutakiwa tuwe nyuma yake sio bega kwa bega.....
 
mwalimu badala ya kufanya mdahalo angewafanya kama alivyowafanya kasela bantu na kasanga tumbo.alikuwa na zero tolerance na wapinzani katika muda wote wa miaka 20 na ushee kwenye regime yake.
ni kweli ndugu......kasela bantu alikua na bahati angesingiziwa ni kitimba kwiri na mhaini....aliondoa vyama vingi kwa sababu hakua na hulka ya kukubali kupingwa....leo kama vyama vingi hakuvipiga marufuku tungekua mbali katika democrasia .....
 
Waulizwe waakina Kasella Bantu, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga... Alikuwa anawatoa wapinzani wake kutoka jela na kuwadhalilisha mbele ya umma wa Watanzania. Just look at the picture below and you will know how Nyerere was conducting debates with his wapinzani:

Hanga-Nyerere.jpg
Original caption: President Julius Nyerere is pictured on January 16th when he addressed an open air rally where the detained former Tanzania Minister and Vice-President of Zanzibar was brought to face the people. Mr. Kassim Hanga (seated between two police officers) is under detention with a number of other top Tanzanians after allegedly boasting that he had been called from voluntary exile in Guinea to lead an army coup on Zanzibar.
 
Back
Top Bottom