Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,094
Muwa ni mti.
Nanasi halina mbeguMfano wa matunda ambayo hayana mbegu ni vzur ukayataja kwa faida ya weng
Ndizi ni mfano mzuriMfano wa matunda ambayo hayana mbegu ni vzur ukayataja kwa faida ya weng
Mtama, muwa, mahindi na mpunga ni majani ya jamii moja.na mtama je?
Ndizi...Mfano wa matunda ambayo hayana mbegu ni vzur ukayataja kwa faida ya weng
Muwa ni mmea ambao sehemu yake ya shina ndio huhifadhiwa virutubisho, hutumika kama kiburudisho kwa binadamu, pia baadhi ya wanyama hutumia kama chakula chao.Wadau heshima kwenu,
Tujuzane eti miwa ni matunda, chakula au ni vinywaji?