Hahahaha,leo hii post imenichekesha sanaaa,
Maana majibu yake ya ajabua jabu kweli.
Sijui maharage yatakuwa kundi gani kwa baadhi ya tafsiri hapo juu
glucose ni reducing na muwa ni nonnreducing though zote ni carbs
Muwa sio tunda kwani tunda linatokea kwenye ua. Na tunda lazima liwe na mbegu kwa sababu tunda ndilo linalotokeza kizazi kingine( sexual reproduction). Kwa hiyo muwa tunaokula ni shina. Kama mjuavyo kwenye mimea, kutegemea na aina, tunakula kila sehemu ya mmea na sio tunda tu. Mfano, mihogo au karoti tunakula mizizi, mboga za majani tunakula majani na matawi, kwenye couliflower tunakula maua,nk.
Kuhusu classification, miwa iko katika Grass famiy inaitwa Poaceae, nafamily hii ni pamoja na miwa, mianzi, na aina mbalimbali za nyasi. Classifications za mimea kama ilivyo kwa wanyama hufanyika kwa kuzingatia maumbile na sio size ya kiumbe.
Mkuu umeeleza vizuri sana na wanatakiwa wakuelewe. Kwa nyongeza tu, muwa ni shina ambalo limekuwa modified kwa ajili ya kuhifadhi chakula (ndo huo utamu tunao meza wakati tunatafuna muwa). Pia shina hilo hilo limekuwa modified kwa ajili ya asexual reproduction.Muwa sio tunda kwani tunda linatokea kwenye ua. Na tunda lazima liwe na mbegu kwa sababu tunda ndilo linalotokeza kizazi kingine( sexual reproduction). Kwa hiyo muwa tunaokula ni shina. Kama mjuavyo kwenye mimea, kutegemea na aina, tunakula kila sehemu ya mmea na sio tunda tu. Mfano, mihogo au karoti tunakula mizizi, mboga za majani tunakula majani na matawi, kwenye couliflower tunakula maua,nk.
Kuhusu classification, miwa iko katika Grass famiy inaitwa Poaceae, nafamily hii ni pamoja na miwa, mianzi, na aina mbalimbali za nyasi. Classifications za mimea kama ilivyo kwa wanyama hufanyika kwa kuzingatia maumbile na sio size ya kiumbe.
Harage ni tunda
na mahindi?harage ni mbegu mkuu.
mahindi yanauspecial case. ni mchanganyiko wa tunda na mbegu.na mahindi?
Harage ni tunda
Muwa sio tunda kwani tunda linatokea kwenye ua. Na tunda lazima liwe na mbegu kwa sababu tunda ndilo linalotokeza kizazi kingine( sexual reproduction). Kwa hiyo muwa tunaokula ni shina. Kama mjuavyo kwenye mimea, kutegemea na aina, tunakula kila sehemu ya mmea na sio tunda tu. Mfano, mihogo au karoti tunakula mizizi, mboga za majani tunakula majani na matawi, kwenye couliflower tunakula maua,nk.
Kuhusu classification, miwa iko katika Grass famiy inaitwa Poaceae, nafamily hii ni pamoja na miwa, mianzi, na aina mbalimbali za nyasi. Classifications za mimea kama ilivyo kwa wanyama hufanyika kwa kuzingatia maumbile na sio size ya kiumbe.
kama harage ni tunda tengeneza juice tunyweharage ni tunda