Henoko ni binadamu wa kwanza kufika mbingu ya 7"""""Hakuna aliyepata kwenda mbinguni,,, isipokuwa mwana wa mtu ambaye ameshuka kutoka mbinguni""""
YOHANA 3:13 BHN.
Hii ni kauli ya YESU, wakati akiwa duniani. Ila kwenye kitabu cha mwanzo kinasema
HENOKO alitwaliwa,
Eliya naye akaenda na upepo wa kisulisuli halikadhalika na MUSA.
Wakuu hii imekaaje?
Baba mtakatifu91, Matunzo 02, and others
Unaanzisha uzi, unajitag, halafu unajijibuREJEA marko 9:1-25
Wengine hawatakufa ila wataingia mbingun bila kuonja mauti musa, eliya walikuwa ni watumishi wake MUNGU waliofanya makubwa sana kwa Mungu hivyo Mungu akawapa zawadi ya kutoonja mauti
Kama hakuna maandiko yanayo support, sio sahihi kwa kweliIngawa biblia takatifu haijazungumzia wazi juu ya vifo vya baadhi ya mitume na mariam mama yake yesu,
Bado sio sahihi kutoka mbele za watu na kusema kua watu hao wangali wanaishi.
sio kwelUnaanzisha uzi, unajitag, halafu unajijibu
Hii ni dalili ya uwendaazimu
Naona kama hadithi za sungura vile!!"""""Hakuna aliyepata kwenda mbinguni,,, isipokuwa mwana wa mtu ambaye ameshuka kutoka mbinguni""""
YOHANA 3:13 BHN.
Hii ni kauli ya YESU, wakati akiwa duniani. Ila kwenye kitabu cha mwanzo kinasema
HENOKO alitwaliwa,
Eliya naye akaenda na upepo wa kisulisuli halikadhalika na MUSA.
Wakuu hii imekaaje?
Baba mtakatifu91, Matunzo 02, and others
Kama yapi hayo?Kama walikuwa wajinga mbona kuna mambo waliyaandika many years ago lakini yakaja kutokea?
kwa sababu biblia inajipinga yenyewe agano la kale na jipya vina pingana musa iliamuru jicho kwa jicho yesu akasema usilipize ubaya kwa ubayaKwanini mkuu!
Matendo ya mitume 17:30 (SUV)kwa sababu biblia inajipinga yenyewe agano la kale na jipya vina pingana musa iliamuru jicho kwa jicho yesu akasema usilipize ubaya kwa ubaya
Paulo angejiandikaje kafa maana ndo mtunzi wa biblia agano jipyabiblia haijarekodi wala kusema bikra maria alikufa au hakufa kuna mitume weng tu biblia haijasema kama walikufa au hawakufa mfan mtume paulo n.k
Yote hayo kwetu sisi hayana umuhimu sababu lengo la Mungu wanadamu wapate WOKOVU
YESU hajawahi kuwepo na hayupo.ujio wa masihi, kuharibiwa kwa hekalu la yerusalem,n.k
unaweza kunieleza zaid?Paulo angejiandikaje kafa maana ndo mtunzi wa biblia agano jipya
Hao ukiwa kafir unakua hauna kichwa
Kwa nini uwaite wajinga?Biblia ina logical contradictions nyingi sana.
Na hiyo ni kielelezo tosha kwamba iliandikwa na watu wajinga tu kama hadithi tu.
Wametengeneza logical contradictions nyingi sana pasipo wao kutambua, Huku wakiaminisha umma kwamba Biblia ni neno la Mungu.Kwa nini uwaite wajinga?
Mkuu i hope one day utakuja kurudi hapa na USHUHUDA wa ajabu kuhusu ukuu wa MUNGU ni suala la mda tu!Wametengeneza logical contradictions nyingi sana pasipo wao kutambua, Huku wakiaminisha umma kwamba Biblia ni neno la Mungu.
Mungu ambaye anaaminiwa ni mjuzi wa vyote hawezi kuwa na neno lenye logical contradictions.
Hivyo waandishi wa Biblia ni wajinga tu.
Na Biblia wala si neno la Mungu.
Bali hadithi za wajinga wa kale.