Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,657
- 2,702
- Thread starter
- #61
"""BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili."""YESU hajawahi kuwepo na hayupo.
Yesu ni Fictional character. Mhusika wa kubuniwa tu.
Kama Abunuwasi wa kwenye hekaya.
Habari za masihi ni hekaya za Biblia ambazo zilitengenezewa filamu yake iliyoitwa "Jesus of Nazareth".
Na waigizaji waliogiza kama Yesu wa hekaya za Biblia ni waigizaji kutoka Uingereza Brian deacon na Robert Powell.
Source: Wikipedia Jesus of Nazareth (TV series) - Wikipedia
Zaburi 103.