Je, Mungu anabadilika au habadiliki?

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Kuna msanii wa nyimbo za injili jina limenitoka kdg alishawahi kuimba "Baba wew ni wakuaminiwa, hubadiliki milele na milele hata nikibadilika wew unabaki yule yule hata nikikengeuka wew utabaki ni yule yule"

Swali langu siku hizi kumekuwa na kasumba mtu akitoka kwenye mstari akiulizwa anaekuambia Dunia ya sasa sio kama ya zamani , hata Mungu anajua Mambo yamebadilika.

Je, ni kwel Mungu anabadilika kulingana na wakati au habadiliki? Na kama anabadilika kwann kusiwepo na toleo la vitabu vya dini Karne ya 21?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom