Diabetes type 2 ni ugonjwa gani mkuu .??Mkuu HIV ilibadilika kutoka kuwa death sentence mpaka kuwa “long term condition”. Madaktari wengine wanasema ni rahisi kumhudumia mgonjwa wa HIV kuliko diabetes type 2.
Ukila ARV kila siku una uhakika wa kupiga miaka 20 bila change.
Ukiwa +ve na umefubaza virusi, unaweza kuwa na unprotected sex pasi kumwambukiza mwenza wako.
Kapime,usijishitukie tu,na huenda huna hata iyo HIV unayoogopa...sio wewe pekee umewahi cheza sehemu mbaya tupo wengi na ngoma hatujapata,ubovu huwa mnakamia sana mechi bao tatu zote za nini,lazima muwe na wasiwasi,tulishaacha kukamia mechi,sisi ni wazee wa bao moja kavu ila iyo kavu tunalainisha na mafuta,kwaiyo mwendo mtelezo hatuchubuki,kapime!Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
kama ushawai tembelea viatu vya uyu jamaa utajua anamaanisha nini, hapo hawezienda pima hata siku moja ! kwani vituo havioni, na sasa ivi nawaona uku mtaani wanapita kupimisha , basi tu wenge limemjaa hahahaKapime,usijishitukie tu,na huenda huna hata iyo HIV unayoogopa...sio wewe pekee umewahi cheza sehemu mbaya tupo wengi na ngoma hatujapata,ubovu huwa mnakamia sana mechi bao tatu zote za nini,lazima muwe na wasiwasi,tulishaacha kukamia mechi,sisi ni wazee wa bao moja kavu ila iyo kavu tunalainisha na mafuta,kwaiyo mwendo mtelezo hatuchubuki,kapime!
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
Umri wako dogo???Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha??
Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa na familia??
Naombeni majibu, Ushauri na hata mifano km ipo!!!
Hhahah nimecheka sana baada ya kusoma hii post kuna HIV ya hofu huu ni hatari sana imenitesa mno hii mpaka pale nilipochukua maamuzi ya kwenda pima Na kujua afya yangu ndipo hofu Na mashaka yalitoweka Na afya yangu ikatengamaa mpaka kesho..Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
Huu ni unaa man!
Mmmh, hujafa hujaumbika, jamaa hajui km anaweza kufa kwa ugonjwa hatari kuliko Ukimwi na akatangulia kabla yangu.Huu ni unaa man!
Mtoto wa kiume acha kauli za kibwege takufa umuache!!!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk