Mwakimu
New Member
- Jan 14, 2019
- 1
- 0
Amina na uzima uwepo km ulivyosema namshukuru sana kwa kunitia moyo.Hhahah nimecheka sana baada ya kusoma hii post kuna HIV ya hofu huu ni hatari sana imenitesa mno hii mpaka pale nilipochukua maamuzi ya kwenda pima Na kujua afya yangu ndipo hofu Na mashaka yalitoweka Na afya yangu ikatengamaa mpaka kesho..
Ushauri wangu nenda kapime acha kuishi kwa hofu itakupa wakati mgumu sana hivo nenda kacheki afya yako achana Na hizi hofu Nina hakika Ni mzima wa afya apo ulipo
Usijal mkuu wewe Ni mzima wa afya huo woga ndo unakupa Ayo mashaka yani mimi sasa ilikuwa balaaa nilikuwa nikiona sehemu wameelezea kuhusu dalili flani ya HIV yani nahesabu masaa tu naanza iona kwangu sijui kuna uhusiano gani Na hili jambo nimeteseka sana kuna siku nikasema liwalo Na liwe nikajilipua sikuamini aseh nilienda pima mara 4 kuthibitishaAmina na uzima uwepo km ulivyosema namshukuru sana kwa kunitia moyo.
Ngoja kipindi cha mpito kiishe nikapime tena!!
Ahsante kwa ushauri wako mkuu.
Kisukari cha aina ya pili....hii ni aina ya kisukari ambacho hutokea sana ukubwaniDiabetes type 2 ni ugonjwa gani mkuu .??
Kijana kapime UKIMWI uanze dozi ya ARV, nimepitia nyuzi zako humu ndani, nimejiridhisha kuwa huenda ukawa umeathirika .Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha??
Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa na familia??
Naombeni majibu, Ushauri na hata mifano km ipo!!!
Kuna clip moja niliangalia ya Daktari mmoja anamponda mgunduzi wa Virus vya HIV kuwa ameupotosha umma kwa kuleta hofu kwa wanadamu juu ya ugonjwa huu. Yule dokta akadiriki kusema kuwa HIV haisababishi umimwi ila kinachowauwa wengi ni hofu tu.One daya AFRIKA tutajuaga ukweli wa hu UGONJWA. na hapo ndo hatutaamini tunachokiamini wengi wao sa hivi
Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha??
Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa na familia??
Naombeni majibu, Ushauri na hata mifano km ipo!!!