Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Messages
408
Points
225
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2013
408 225
Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha??
Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa na familia??
Naombeni majibu, Ushauri na hata mifano km ipo!!!
 
Titans

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
1,467
Points
2,000
Titans

Titans

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
1,467 2,000
Pole sana mkuu, siku hizi ukimwi sio kama ule wa zamani wa kupandisha kenchi za mbavu na kuhara mara 62 kwa wiki ambapo ungeweza katiza ndoto za mtu.

Naamini kabisa mtu anaweza soma degree na kuwa na familia kabisa akaja kufa kwa magonjwa ya kawaida tu kama figo etc like kama wasio nao ambavyo hufa. Usihofu dawa zimeboreshwa sana.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
37,658
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
37,658 2,000
Mkuu HIV ilibadilika kutoka kuwa death sentence mpaka kuwa “long term condition”. Madaktari wengine wanasema ni rahisi kumhudumia mgonjwa wa HIV kuliko diabetes type 2.

Ukila ARV kila siku una uhakika wa kupiga miaka 20 bila change.

Ukiwa +ve na umefubaza virusi, unaweza kuwa na unprotected sex pasi kumwambukiza mwenza wako.
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,909
Points
2,000
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,909 2,000
Kuna watu wanaishi na VVU kwa zaidi ya miaka 20 hivyo mipango na maisha yanaendelea kama kawaida kikubwa ni kuzingatia lishe
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,812
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,812 2,000
Unakuaje upo Jamii forum alafu Unauliza swali kama hilo mkuu...!!

Ukimwi ukinywa dawaa ukala vizurii bhasi hata watu hawatajua kama unaoo.. Vijana wengi wenye ndoto huwa wanakata tamaa wakishapata Ukimwi na kukataa kunywa dawaa bhasi ndotp zao huwa zinaishia hapoo ilaa Ukimwi ukaupokea na kuishi naoo aisee mbona utadumu.. Mawazo ndo yanaua watu wenye Ngomaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Messages
408
Points
225
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2013
408 225
Mkuu HIV ilibadilika kutoka kuwa death sentence mpaka kuwa “long term condition”. Madaktari wengine wanasema ni rahisi kumhudumia mgonjwa wa HIV kuliko diabetes type 2.

Ukila ARV kila siku una uhakika wa kupiga miaka 20 bila change.

Ukiwa +ve na umefubaza virusi, unaweza kuwa na unprotected sex pasi kumwambukiza mwenza wako.
Diabetes type 2 ni ugonjwa gani mkuu .??
 
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Messages
408
Points
225
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2013
408 225
Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
 
ichenjezya

ichenjezya

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
1,010
Points
2,000
ichenjezya

ichenjezya

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
1,010 2,000
Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
Kapime,usijishitukie tu,na huenda huna hata iyo HIV unayoogopa...sio wewe pekee umewahi cheza sehemu mbaya tupo wengi na ngoma hatujapata,ubovu huwa mnakamia sana mechi bao tatu zote za nini,lazima muwe na wasiwasi,tulishaacha kukamia mechi,sisi ni wazee wa bao moja kavu ila iyo kavu tunalainisha na mafuta,kwaiyo mwendo mtelezo hatuchubuki,kapime!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
3,830
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
3,830 2,000
Kapime,usijishitukie tu,na huenda huna hata iyo HIV unayoogopa...sio wewe pekee umewahi cheza sehemu mbaya tupo wengi na ngoma hatujapata,ubovu huwa mnakamia sana mechi bao tatu zote za nini,lazima muwe na wasiwasi,tulishaacha kukamia mechi,sisi ni wazee wa bao moja kavu ila iyo kavu tunalainisha na mafuta,kwaiyo mwendo mtelezo hatuchubuki,kapime!

Sent using Jamii Forums mobile app
kama ushawai tembelea viatu vya uyu jamaa utajua anamaanisha nini, hapo hawezienda pima hata siku moja ! kwani vituo havioni, na sasa ivi nawaona uku mtaani wanapita kupimisha , basi tu wenge limemjaa hahaha
 
Dogo G

Dogo G

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Messages
1,053
Points
1,500
Dogo G

Dogo G

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2018
1,053 1,500
Pole mkuu,muombe mungu thn kapime
Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hon Nkundwe

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Messages
3,174
Points
2,000
Hon Nkundwe

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2014
3,174 2,000
Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha??
Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa na familia??
Naombeni majibu, Ushauri na hata mifano km ipo!!!
Umri wako dogo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IWAMBI

IWAMBI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Messages
745
Points
1,000
IWAMBI

IWAMBI

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2018
745 1,000
Hahaaah mkuu usiwe na hofu...huna UKIMWI...tuliopitia situation unayopitia sahv tupo wengi
 
Mzaleee

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
986
Points
1,000
Mzaleee

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
986 1,000
Usiogope ....jipe mda kapime mm nimepita njia mbaya sana wakiwemo na makahaba lakn sina ngoma nimepima ila pia acha kucheza peku mm sijawahi kucheza peku kwa mtu nisiyepime nae HIV ....ukikutwa na ngoma anza kutumia dawa usikubali kudangaywa na mtu eti dawa ndo zinaua,ukiacha dawa ndoto zako zitaishia hapo na utakufa kifo cha kukonda na kuharisha mfululizo.

Kila LA kheri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
okyo

okyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
okyo

okyo

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2013
2,000 2,000
Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi viliingia kwa namna hiyo.
Sinario iko hivyo ndugu zangu.
Hhahah nimecheka sana baada ya kusoma hii post kuna HIV ya hofu huu ni hatari sana imenitesa mno hii mpaka pale nilipochukua maamuzi ya kwenda pima Na kujua afya yangu ndipo hofu Na mashaka yalitoweka Na afya yangu ikatengamaa mpaka kesho..
Ushauri wangu nenda kapime acha kuishi kwa hofu itakupa wakati mgumu sana hivo nenda kacheki afya yako achana Na hizi hofu Nina hakika Ni mzima wa afya apo ulipo
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,613
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,613 2,000
Pole sana,nenda hospital ukapime tu ili ujue status....Ukimwi sio issue si ulisikia song la sugu kuna jamaa kamtaja ana ngoma,aliionyesha dalili mwaka 2007 ila mpaka sassa ana miaka 12 yupo fiti.
 
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Messages
408
Points
225
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2013
408 225
Huu ni unaa man!

Mtoto wa kiume acha kauli za kibwege takufa umuache!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mmmh, hujafa hujaumbika, jamaa hajui km anaweza kufa kwa ugonjwa hatari kuliko Ukimwi na akatangulia kabla yangu.
Naamini Mungu hajaniacha. !!!
 
Forum statistics

Threads 1,335,206
Members 512,271
Posts 32,499,010
Top