Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,182
- 5,715
Manusura wa shambulio la moyo waliyofanyiwa utafiti wametoa majibu niliyoyaweka hapo au wewe una utafiti wako Mkuu?.Nani amerudi kuhadithia alichohisi?
Hakuna kitu mtu alinusurika kifo, ni either umekufa au upo mzima.Manusura wa shambulio la moyo waliyofanyiwa utafiti wametoka majibu niliyoyaweka hapo au wewe una utafiti wako Mkuu?.
Mkuu sidhani kama umeelewaHakuna kitu mtu alinusurika kifo, ni either umekufa au upo mzima.
Kufa sio chaguo kwamba ufe au usife
Kazi hii ni ya Muumba, binadamu hatuiwezi!!
Utafiti umeonesha hayo niliyoyandika au unao utafiti mwingine Kaka?Sasa manusura wa kufa ndio watoe ushahidi kuhusu kifo?
Waliokufa ndio watoe ushahidi kuhus kifo.Utafiti umeonesha hayo niliyoyandika au unao utafiti mwingine Kaka?
Sasa huoni kama unatuonea hivi kwa hili swali lako? Sasa sisi tutajuaje namna wanavyo jisikia! Nadhani hayo majibu yako ya kutoka huko Uingereza, yanajitosheleza.Mkuu sidhani kama umeelewa
Hoja ni kwamba walikaribia kufa ( soma thread ukiwa na nafasi nzuri).
Unaogo paopgoogaonaSasa huoni kama unatuonea hivi kwa hili swali lako? Sasa sisi tutajuaje namna wanavyo jisikia! Nadhani hayo majibu yako ya kutoka huko Uingereza, yanajitosheleza.
Au usubiri na wewe siku yako ikifika utakuwa na majibu sahihi kabla hujahifadhiwa kwenye nyumba yako ya milele. 😇
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwafrika hapo akili yake imegota...Kazi hii ni ya Muumba, binadamu hatuiwezi!!
Ah..ah...ah....kazi ya Mungu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwafrika hapo akili yake imegota...
Hakuna kitu mtu alinusurika kifo, ni either umekufa au upo mzima.
Kufa sio chaguo kwamba ufe au usi
Kuna ndugu yetu mmoja alifariki kwa ugonjwa wa cancer ambao ulifikia Terminal stage na kushambulia mapafu na organs mbalimbali. Nilipata wasaa wa kumuuguza mpaka umauti ulipomfika, kiukweli niseme tu kwamba alikufa kwa mateso makali sanaa. Yaani kuna kipindi maumivu ya ule ugonjwa yalikuwa makali mpaka analia, na unamuona kabisa jinsi anavyoteseka mpaka akakata roho. Kwa kweli mpaka kimoyo moyo nikasema bora amefariki na kuepukana na mateso aliyokuwa akiyapata, ambayo hakuna dawa za kumsaidia.Utafiti umeonesha hayo niliyoyandika au unao utafiti mwingine Kaka?
Pole sana Mkuu kwa upendo umeandika kwa hisia sana imeonesha namna ulivyoweza kuzibeba hisia za ndugu yetu aliyetangulia mbele ya haki.Kuna ndugu yetu mmoja alifariki kwa ugonjwa wa cancer ambao ulifikia Terminal stage na kushambulia mapafu na organs mbalimbali. Nilipata wasaa wa kumuuguza mpaka umauti ulipomfika, kiukweli niseme tu kwamba alikufa kwa mateso makali sanaa. Yaani kuna kipindi maumivu ya ule ugonjwa yalikuwa makali mpaka analia, na unamuona kabisa jinsi anavyoteseka mpaka akakata roho. Kwa kweli mpaka kimoyo moyo nikasema bora amefariki na kuepukana na mateso aliyokuwa akiyapata, ambayo hakuna dawa za kumsaidia.
Uhai na kifo Ni kitu kile kile?Mkuu naogopa woga ila siyo kuogopa kifo ninaamini uhai na kifo ni kitu kimoja ( kilekile).