Kuna Pharmacist anaitwa Buma hapo muhimbili .....akishika MSD inanyooka vzr tuAnahitajika Pharmacist mwenye hiyo Knowledge ya Logistic Supply Chain Management and Procurement.
Na pia mwenye Leadership skills. Huyu si alikiwa Mkurugenzi wa Hospital za Jeshi: so I think haya mambo ya purchase kafanya sana
Mk54
Kuna Pharmacist anaitwa Buma hapo muhimbili .....akishika MSD inanyooka vzr tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lingine kubwa hapa nchini ni mifumo anaweza akaletwa mtu mpya lakini akakuta mfumo wa upigaji bado uleule na yeye akaadopt mfumo.
Haya yalitokea mashirika kama Tazara kuna wakati akaletwa Ndumbaro akakutana na mfumo wa Tazara wa upigaji hakufanikiwa kubadilisha chochote.
Shirika kama TPA hata aende malakika akitua tuu anakutana na mfumo wa upigaji hauwezi kumpita na yeye anageuka kuwa kiongozi. Wamebadilishwa ma Port manager kibao lakini kila alieingia inabidi a lubricate parts with money mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa, daktari bingwa kama yule anaenda kusimamamia manunuzi ya panadol, dawa mseto na nyingine, ni utumiaji mbaya sana wa wataalam. japo bado naamini wapo wengi hasa ktk jeshi, angemteua hata aliekuwa msaidizi wake pale lugalo.....nchi inatawaliwa kijeshi kimya kimya....Hakuhitajika daktari kuiongoza MSD. Ni mtaalamu wa Procurement and supply chain tu. MSD haitibu, kazi yake ni kununua madawa na kusambaza. Kumuweka daktari bingwa kuiongoza MSD ni misuse of human resources.
Haina tatizo Brigardier General kuwa CEO MSD kwa kuwa Jeshi ndiyo most efficient logisticans all over the worldKuna Pharmacist anaitwa Buma hapo muhimbili .....akishika MSD inanyooka vzr tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tunajuana na unajua HiloTunajua kuwa unatumika
Mk54
Haina tatizo Brigardier General kuwa CEO MSD kwa kuwa Jeshi ndiyo most efficient logisticans all over the world
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa, daktari bingwa kama yule anaenda kusimamamia manunuzi ya panadol, dawa mseto na nyingine, ni utumiaji mbaya sana wa wataalam. japo bado naamini wapo wengi hasa ktk jeshi, angemteua hata aliekuwa msaidizi wake pale lugalo.....nchi inatawaliwa kijeshi kimya kimya....
Sema tuisaidie serikaliHihihi, haya. Ndio uisaidie serikali basi sasa
Mk54
Mmm huyu kapelekwa ili kwanza Mkulu anataka control infomation kwa kuwa kwa kuweka mtu ambaye sio mtu wake hawezi kuendana na matakwa yake,naota tu .Ila kingine kwa historia ya Bwana Kunu aliyeondoka ,yeye amefanya kazi sana na mabeberu na mkuu hataki mtu ambaye ameshafanya kazi na mabeberu .Naota pia.So sasa atafanya kazi anachotaka aisee.Mfano si unaona Bunge chini ya Ndungai yaani anamuistract asiwape wabunge wasiohudhuria posho wakati bunge ina taratibu zake na kiongozi yake na sio Amri kutoka juu.Nawaza sana jinsi maisha ya watu yanavyoendeshwa na mtu mmoja bila sheria saa nyingine kufuatwa
Hapo nimeongea issue ya karantine?au unasomewa massageUnaonekana Mmbeya tu. Mkuu karantini iko dar au Dodoma. Asiyefanya kazi na asile au we unasemaje.
Same here...Ningekuwa TZ sawa. Nyie ndio msimame.
Mk54
Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?Pole. Ila kwa bahati mbaya hii sio mada ya analysis wala masomo ya logistics.
Wala sio mada ya Demand and Planning wala sizungumzii Supply.
Lakini kama itakupendeza, unaweza kufungua uzi wako na kuyaandika hayo uliyoyapendekeza. Itapendeza zaidi kaka.
Nakushukuru sana mkuu.
Mk54
Inaonekana umeguswa sana, na unajitahidi kumnyamazisha mwandishi.Umejipambanua kwa global health supply chain
Kumbe huna kitu zaidi ya majungu
Watanzania tupunguze hizi tabia zisizo na tija
Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?
Kwa sababu hata huyo Bwanaunu ktk maelezo yako ya mbele unaona nae hakuwa na makosa ila ni Ummy,Ummy Ummy tu.
yaani we jamaa chuki itakuua ujue.
Sent using Jamii Forums mobile app