Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Majungu Ni mtaji wa wasioweza kazi

Hakuna ulichoweka chenye evidence

Global supply chains hazina watu shallow hivi... Umekusanya maneno ukayaundia thread

Sijasema Global Supply chains. Nimesema Global Health Supply Chain.

Thanks


Mk54
 
Kwa macho tiki, bado kwa vitendo.
 

Hakuhitajika daktari kuiongoza MSD. Ni mtaalamu wa Procurement and supply chain tu. MSD haitibu, kazi yake ni kununua madawa na kusambaza. Kumuweka daktari bingwa kuiongoza MSD ni misuse of human resources.
 

Kabisa. Na tangu mwanzo nilishawahi kusema huyu ma’am sio suitable. Mwenyewe yupo yupo tu na anajificha nyuma ya pazia kwamba yeye sio Technical Personel.

Alikuwa anataarifa zote za Covid 19 kabla hata kutangaza. Alikuwa akiulizwa juu ya maandalizi anajibu utumbo sana.

Ilipoingia Corona hajui cha kufanya; matokeo yake watu wanamuona yupo busy sana. MSD imeanza kufanya manunuzi ya vifaa hivyo wakati Corona imeshatupiga. Ikawa overloaded hata Sanitizer hawana . Barakoa hawana na zote wanaagiza nje.

Kweli waziri na Bwanakunu walishindwa kukaa na local manufacturers wa Sanitizer na Barakoa kuzalisha hivyo vitu kwa watanzania?

Unaona kabisa hawa watu ilikuwa ni mwisho wao wa kufikiri.

Wao wapo busy na mambo ya kikubwa [emoji23]


Mk54
 
Viatu vikubwa kuliko yeye. Wizara ya Afya ilistahili mtu wa medical proffessional background asiyetawaliwa na ukada toka chama kikuu pia.

Pale MOH wapo wasomi wazuri lakini siasa zinatawala kuliko utalaamu, au mtu wa Kitengo wakati kichwani yuko empty unaenda unampa wizara inayohitaji utalaamu.

Waziri wa Afya its either ni mtu kutoka kitengoni, ukada tunajua ni kada ama laws of nature zitaendelea kumuweka pale mjengoni. Amejitahidi kutuongoza lakini hili la covid kidogo lilimzidi uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuhitajika daktari kuiongoza MSD. Ni mtaalamu wa Procurement and supply chain tu. MSD haitibu, kazi yake ni kununua madawa na kusambaza. Kumuweka daktari bingwa kuiongoza MSD ni misuse of human resources.

Anahitajika Pharmacist mwenye hiyo Knowledge ya Logistic Supply Chain Management and Procurement.

Na pia mwenye Leadership skills. Huyu si alikiwa Mkurugenzi wa Hospital za Jeshi: so I think haya mambo ya purchase kafanya sana


Mk54
 

Upo sahihi kabisa.

Ila naomba kusema huyu mtu amefeli sana tangu zamani. Sema hatukuwa na changamoto za maana zitakazoweza kuexpose uwezo wake halisi.

Covid 19 imekuja kuonesha uwezo wake halisi. Kuwa hafai kuwa wizara nyeti kama hiyo. Alipaswa kuwa wizara ya Michezo na Sanaa.


Mk54
 

Nadhani upo sahihi kwamba mkuu anataka kuona transactions zote za pesa. Maana pale kuna transaction kubwa kubwa.

Dawa moja tu inaweza kufanyiwa billions of transactions.


Mk54
 
Sijasema Global Supply chains. Nimesema Global Health Supply Chain.

Thanks


Mk54
Hata iwe global health supply chain

Nothing you spoke represent mtu mwenye uwezo wa kujadili global health supply chain

Zaidi Ni majungu

Hujafanya any analysis iwe ya logistics, modeling , demand etc.

Umemshambulia mtu na watu na majungu

Hujaonyesha chochote chenye depth ya kutambua technical solutions

In short una hasira na watu halafu ukaibeba MSD kwenye hasira zako
.hatujengi nchi kwa mtindo huo
 

Sasa MSD nayo si ni serikali; au ni kampuni binafsi?

Kama ni serikali basi kuna namna yao ya kuresolve mambo. JPM amefanya special financial auditing pale kabla ya kumpa hizo pesa anazodai.

Matokeo yake ndio hayo kutumbuliwa. Means matokeo sio mazuri.


Mk54
 
Naona tuna weka wanajeshi kila sehemu ...
 

Pole. Ila kwa bahati mbaya hii sio mada ya analysis wala masomo ya logistics.

Wala sio mada ya Demand and Planning wala sizungumzii Supply.

Lakini kama itakupendeza, unaweza kufungua uzi wako na kuyaandika hayo uliyoyapendekeza. Itapendeza zaidi kaka.

Nakushukuru sana mkuu.


Mk54
 
Naona tuna weka wanajeshi kila sehemu ...

Kwa sababu watumishi wengi wamekosa nidhamu. Wengi wanaingia huko kwa kutafuta utajiri. Nadhani hata ndoto za Bwanakunu ni kuwa mmbunge. Hivyo ni lazima yeye kuwa na financial muscles lol.


Mk54
 
Umejipambanua kwa global health supply chain

Kumbe huna kitu zaidi ya majungu

Watanzania tupunguze hizi tabia zisizo na tija
 
Umejipambanua kwa global health supply chain

Kumbe huna kitu zaidi ya majungu

Watanzania tupunguze hizi tabia zisizo na tija

Mkuu, unaweza kuonesha majungu. Kuzungumza ukweli ni majungu. Pitia posta zangu. Kwangu Vocabulary ya majungu haitumiki.


Mk54
 
Tatizo lingine kubwa hapa nchini ni mifumo anaweza akaletwa mtu mpya lakini akakuta mfumo wa upigaji bado uleule na yeye akaadopt mfumo.

Haya yalitokea mashirika kama Tazara kuna wakati akaletwa Ndumbaro akakutana na mfumo wa Tazara wa upigaji hakufanikiwa kubadilisha chochote.

Shirika kama TPA hata aende malakika akitua tuu anakutana na mfumo wa upigaji hauwezi kumpita na yeye anageuka kuwa kiongozi. Wamebadilishwa ma Port manager kibao lakini kila alieingia inabidi a lubricate parts with money mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…