Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,530
- 6,942
Badala ya kufanya juhudi mkampore Mzee Kilomoni Hati nyie mmekaa kumsikiliza Zahera kasajili naniNaskinia Bwana Zaera mwinyi. Amenasa vifaa 2.
Kumbe mbumbumbu tusiwachulie poa. Wamestuka.Mo anataka akae na hati. 😂🤣😂🤣🤣🤣🤣.Mo mfanyabiashara yule. Siku akiona Simba ishamwingizia mtonyo anaitupilia huko na kuanzisha biashara nyingine.