Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,167
- 288,833
Naombeni Majibu yenu, maana huyu Mtu Simba ikifungwa lawama zote anabebeshwa, ila ikishinda anasifiwa MO.
Kwa sababu ipi?Mangungu aondoke tu kumx LA make
Subiri uchaguzi utapata majibu.Kwa sasa sikilizia machungu ya kufungwa tuNaombeni Majibu yenu, maana huyu Mtu Simba ikifungwa lawama zote anabebeshwa, ila ikishinda anasifiwa MO.
Hata kabla hajarudi msimu wa pili mlisema hivyohivyoInasemekana nafasi yake ya kuendelea kuwa mwenyekiti wa simba ni finyu
Inasemekana hana mahusiano mazuri na Rais waheshima na mdhamini mkuu Mohamed DewjiHata kabla hajarudi msimu wa pili mlisema hivyohivyo
Mkuu tuache na Simba yetu. Tutajuana wenyewe.Naombeni Majibu yenu, maana huyu Mtu Simba ikifungwa lawama zote anabebeshwa, ila ikishinda anasifiwa MO.
Teena. 😃Mangungu atupishe, hilo halina mjadala kabisa.
😂😂😂Teena. 😃
Tena mshenzi aende zake ikikaribia uchaguzi anajifanyaga kuifunga yanga baada ya kuchaguliwa yupo busy na mwenyekiti wa yanga na vipigo vinaanza vya dabi, inatosha na wengine nao waongozeMangungu aondoke tu kumx LA make
Kabisaa, huyu atupishe tu, hatumtaki.Tena mshenzi aende zake ikikaribia uchaguzi anajifanyaga kuifunga yanga baada ya kuchaguliwa yupo busy na mwenyekiti wa yanga na vipigo vinaanza vya dabi, inatosha na wengine nao waongoze
Tumewaachia ili january mangungu ashinde hafu February tunakutana nao tuwaburuze tusikie wanabwabwaje tena 😂😂😂Nawaza tu hapa ingetokea lile goli likabakia mpaka mwisho! Hizo kelele zake zingekuwa siyo za dunia hii.