Je, mnazi huu upo?

Je, mnazi huu upo?

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
IMG_0554.JPG Katika pita pita nimeona hii picha ya huu mnazi. Wanasema upo Zanzibar, je ni kweli? Kialama unashiria trident mkwaju unaotumiwa na shetani.
Minazi isiyo ya kawaida nimeiona sehemu za Kisiju kama mnazi mweusi inayotumika kwenye matambiko na minazi iliyopinda pinda mfano wa nyoka. Wenye picha watuwekee.
 
View attachment 158748 Katika pita pita nimeona hii picha ya huu mnazi. Wanasema upo Zanzibar, je ni kweli? Kialama unashiria trident mkwaju unaotumiwa na shetani.
Minazi isiyo ya kawaida nimeiona sehemu za Kisiju kama mnazi mweusi inayotumika kwenye matambiko na minazi iliyopinda pinda mfano wa nyoka. Wenye picha watuwekee.
Upo mmoja niliuona njia ya kwenda Lindi,kijiji cha Mandawa kama sikosei.Huo una [pacha] matawi mawili,sio matatu kama huu.
 
Upo. Sio uchawi ni kwa neema za Mungu tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom