Je, mnauonaje huu muonekano wa BRT terminal inayotarajiwa kujengwa huko Mbagala?

Mbona hawa jamaa route ya Mbezi To Kivukoni na Gerezani zimewashinda kuziudumia vizuri sasa wakianza route huko mbagala itakuwaje

Tunakuwa tunatengeneza Tatizo kabla halijaisha tunatengeneza tatizo jingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbezi vurugu ni nyingi sana hakufahi hata kuishi km upo serious, ni sawa na Mbagala. Watu wengi bila mpangilio alafu wamekariri kununua kila kitu Kkoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli Jenga nchi legacy yako itakuja ukiondoka. Watanzania tunajuana huwa hatukubali chetu. Ya Jakaya yako wapi? Sasa hivi mnasema mzee ana busara sana. Wakati mlimuita dhaifu
 
Mbezi vurugu ni nyingi sana hakufahi hata kuishi km upo serious, ni sawa na Mbagala. Watu wengi bila mpangilio alafu wamekariri kununua kila kitu Kkoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
ila mkuu mbagala imezidi kuwa na watu wengi sana ukishi kule haina haja ya kwenda k/koo labda kwa bidhaa adimu lakini vitu kama nguo, vifaa vya ujenzi, vyombo vya nyumbani thamani za majumbani simu na electronics kwa ujumla, mahitaji ya Sokoni mbagala pamekamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kwanza... yaani Designer kajua ku-design hiyo terminal lakini akashindwa ku-design watumiaji wa hiyo terminal?! Huku Mbagala hakuna Waarabu wala Wazungu bhana... hebu tuambieni hiyo video mmeitoa wapi?!
 
Tofauti ni kwamba kwenye mchoro ilikua "flying over" ila kilichopo ni daraja linalopita juu ya barabara,yaani lile daraja ni kama lile la wilaya ya mwanga ambako treni inapita juu,tofauti tu ni kwamba hili la mfugale juu gari na chini gari.
Make a difference btn flyover & an interchange then come back to conversation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make a difference btn flyover & an interchange then come back to conversation

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo wote humu ni wasome, sisi wengine tulimaliza la 7 huko kijijini tena kwa mbinde sana, imagine hata pepa ya mwisho ilibaki "hivi tu" nidoji..

So naomba unifafanunulie hayo uliyoandika hapo maana hata kusoma mimi binafsi nimejua ukubwa huku mjini tena baada ya kutapeliwa sana na wenye akili kama wewe.
 
Haitajengwa hyo
Hyo itacost sana kias kwamba itakuwa ni hasara
Then Kariakoo ndo centre ya magar yote how come stend ya mbagala iwe nzri zaid
Not gonna happen
Itakuwa nzr lkn si kama ya pichan apo
 
hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucoment
Tazara 1.PNG
Tazara 1_1.PNG
Tazara 2.PNG

Hizo ndio picha za design kabla ujenzi kuanza, tuambie tofauti unayoiona kati ya hizo picha na kitu halisi kilichojengwa. Kuhusu kwenda pale physically kuangalia naomba nikutaarifu kuwa mimi ni mtumiaji wa barabara ya Nyerere kila siku napoenda kazini na kurudi nyumbani, ni mtumiaji wa kila siku wa mfugale flyover.
 
hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucoment

Design na muonekano ni uleule
Kubadirika ni kidogo sanaa
 
iyo design ni nzuri ila ss kama wakijenga chinese basi tutegeme mabadiliko ya iyo design lkn iko vizuri tena itapendeza zaidi wakiweka na maduka huko yaan na migahawaa yaani itakuwa safi sanaaa
 
hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucoment
Unaiga tu comments bila kujua ukweli halisi. Kilichojengwa pale Tazara na michoro hamna tofauti yoyote. Inawezekana hata hujui mchoro ulikuwaje na hata sasa hivi pakoje.
 
Nasikia kuna phase 6 za BRT, hii ya mbagala ni phase ya 2 na iko mbioni kuanza full blown implementation, sina hakika lini

Hii haiko mbali sana maana nilikutana na jamaa wanapimapima pale mtoni kwa aziz ali ile petrostation na bustani ya maua na miti havisalimiki. kama ni kweli vigimbi vya mikono na mabukta ya jeans kwa dada zetu kushney.
 
Usihangaike na mtu wa Nangurukuru Dar anaisikiaga. Mfugale anaiona kwenye picha humu JF &FB
View attachment 1002624View attachment 1002625View attachment 1002627

Back
Top Bottom