Je, mnauonaje huu muonekano wa BRT terminal inayotarajiwa kujengwa huko Mbagala?

Hahaaaaaaaaa mimi mwanzoni nilivyokuwa naonaga nikawa najisema moyoni loool eneo ili litakuwa kama metro station hivi za ulaya kuja kuaingia nikasema ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo hamjui kusoma michoro na hamjui pia kufanya right comparison. Design ya Mfugale na kilichojengwa pale hakina tofauti.
Nakuwekea hapa kilichoonyeshwa siku ya uzinduzi halafu nitaomba utuonyeshe kitu kimoja baada ya kingine ambacho kiko tofauti na uhalisia uliojengwa pale

Tazara 1_1.PNG

Tazara 2.PNG

Tazara 1.PNG

Tazara 3.PNG
 
hii nchi kwa kudesign prototype tupo vizuri ila implementation yake sasa utashangaa yaleyale ya daraja la mfugale
 
Nadhani utata upo sehem ndogo sana yaan hata kama kilichojengwa ndo kile kilichopo kwenye mchoro watu wanahitaji kije na sura ile ile kama rangi na ule ukijani wake ambao huoneshwa kwenye 3D Photoshop

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sawa kabisa. Kilichojengwa ni kilekile kilicho kwenye design, watu wanataka waone rangi rangi zile kitu ambacho vingine ni still a work in progress.

Tazara 6.PNG
Tazara 7.PNG
 
Ni nini ambacho kiko tofauti na design pale Mfugale??
Tofauti ni kwamba kwenye mchoro ilikua "flying over" ila kilichopo ni daraja linalopita juu ya barabara,yaani lile daraja ni kama lile la wilaya ya mwanga ambako treni inapita juu,tofauti tu ni kwamba hili la mfugale juu gari na chini gari.
 
Uko sawa kabisa. Kilichojengwa ni kilekile kilicho kwenye design, watu wanataka waone rangi rangi zile kitu ambacho vingine ni still a work in progress.

View attachment 1002385View attachment 1002386
Kwanza wengi wetu tuna inferiority complex vichwan mwetu ujue hilo, pia ukitaka kumuelimisha mbongo akuelewe lazima ujipange maan hata matusi utapewa pia elimu yetu wengi wanakalili tu kiasi wanashindwa kujiongeza just a single step ahead.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ni kwamba kwenye mchoro ilikua "flying over" ila kilichopo ni daraja linalopita juu ya barabara,yaani lile daraja ni kama lile la wilaya ya mwanga ambako treni inapita juu,tofauti tu ni kwamba hili la mfugale juu gari na chini gari.

Napata wakati mgumu kukuelewesha mtu wa namna hii, nimekuwekea picha za mchoro wa design ilivyokuwa kabla ya ujenzi kuanza na na kwa sasa unaweza kwenda mwenyewe ukatazama kwa macho yako then ukalinganisha mchoro/picha ya design kabla ya ujenzi na utakachokiona, je ni tofauti zipi unazoziona?

Hayo majina ya daraja na Flyover yasikuchanganye sana, Flyover ni daraja linalopita juu ya barabara nyingine.
 
Back
Top Bottom