Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Mimi namkumbuka kwa kuwa alikuwa discontinued chuo Kikuu kwa kuwa alikuwa kilaza.
Yes mkuu Bongo, nilipokuwa pale mlimani nilisikia tetesi kuwa bwan KK pamoja na wengine wawili ndio walikuwa wanfunzi wakwanza wa UDSM tena walianzia pale Manazimmoja kabla kule mlimani hakuja jengwa na kwamba mwaka wao huo ni wanafunzi wawili tu ndio walifanikiwa kugraduate yeye alidisco!
That's the only thing I remember about him!
Anaye uliza ilikuwaje akapewa umeyor, man remembe those days angeweza hata kuchukua Unyerere.......form four walikuwa wanapewa ukurugenzi wa makampuni sembuse huyu aliye disco Universirty mkuu?