Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,729
Million na zaidi kwa kweli na dai. Ila chini ya hapo si dai. Sema nahisi kashitukia hii tabia. Nilikopwa 2 nikarudishiwa 1 halaf baada ya mda kilo 5. Kudai 5 iliyobaki sikuweza. Halaf nilishasahau hii post ikanikumbusha.
Ila vilaki tunapeana tu kwa kweli.
Mimi sijawahi kumkopa, na nitakazan nisije mkopa hela beibs wangu labda maji yafike shingoni saaana! Au nizame kabisa!
Ila vilaki tunapeana tu kwa kweli.
Mimi sijawahi kumkopa, na nitakazan nisije mkopa hela beibs wangu labda maji yafike shingoni saaana! Au nizame kabisa!