Je mnakopeshanaga?

Je mnakopeshanaga?

masharti yangu nimagumu sana kwa mkopaji
1.TUNAANDIKISHANA
2.UNASAIN NA MIMI NA SAINI
3.NAKUPIA POLISI
4.HUKU NA KUREKODI
5.NA LAZIMA USEME NISIPORUDISHA NIKUFANYE NINI


utakuwepo huolewi sasa,utabakia kuchunga ng'ombe ngorongoro huko
 
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?

Ushawahi, alikurudishia?

Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa

Wanawake ndo huwa wanakopa sana kwa kutegemea kulipa 'MWILI'....
 
Ha ha ha hatari.....usipende kukopesha maana siku ya siku utakopesha mpaka papuchi

Kweli hujawahi kopwa..??? Kila ulipokwenda ulirudi na chochote..??? Au ulilipwa kabla then ukaja kulipa kihivyoo..??
 
hahaaaaa!!!!!! hata sishauri yaani kumkopesha mpenzio ni sheeeeeedah mim nilizurumiwa hivhiv yan dah
 
Kweli hujawahi kopwa..??? Kila ulipokwenda ulirudi na chochote..??? Au ulilipwa kabla then ukaja kulipa kihivyoo..??

Kukopesha ni ishara ya bidhaa yako kutouzika na unatafuta huruma ya mteja ili isibaki isije kuharibika.

Ha ha ha ha
 
Mm namkopesha wife lkn hajawahi kunilipa
 
Ndiyo tunakopeshana ila kwetu sisi Kwenye pesa hakuna mapenzi....
 
Me nakopeshana na mume wangu...Kwenye ndoa ndipo pazuri kukopeshana kuliko ktk uchumba...
Uchumba mkidaiana ndio ugomvi na kupelekea kuachana...Ila hakuna raha ya kukopeshana kama kwenye ndoa...
Sababu kila mmoja anakuwa anamajukumu yake katika nyumba so akichukua hela ambayo ilikuwa inabudget fulani unamdai na lazima akupe coz asipokupa kitu fulani hakitatekelezeka...Mnaoathirika ni nyote...so kila mmoja lazima asimamie jukumu lake liende vizuri... Hata akinuna atakuongelesha tuu wewe ni mkewe....


Mnapokuwa ktk uchumba au upenzi sababu hajui hela unaitumia kwa kitu gani muhimu basi ukimdai atakusimanga na kukununia...so unaamua kumpa tuu ili kulinda penzi lenu na kuepusha ugomvi...





kwenye ndoa mnapeana tu ila huku tution huku bora useme sina
 
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?

Ushawahi, alikurudishia?

Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
MARANYINGI WAKIKOPA HAWARUDISHI...ILA UNATAKIWA URUSIDHE KWA STYLE,SIUMEMKOPA MILIONI LABDA MBILI.UHENDI STRAIGHT KUDAI.LABDA ALIKUWAIDI BAADA YA MWEZI.ukaona kimya unauchuna kama hamna kitu,then una mtusua baby embu nianzime milioni mbili na nusu kuna mzigo na taka kuchukua nimepelewa.akikupa ujue umerudisha milioni mbili yako na faida laki tano,then baada ya siku tatu unamrudishia laki tano yake.afuu unauchuna.kama muelewa atakuwa amejua.
 
Back
Top Bottom