Je mnakopeshanaga?

Je mnakopeshanaga?

mimi naangaliakauli yako ukisema NAOMBA NIAZIME LAKI MOJA lazima urudishe.... ila ukiniambia BABY NAOMBA LAKI MOJA NAKUPA KWA MOYO MMOJA......

nakuwa ofisini baby naomba ile hela yangu uliyokopa tarehe 7/9/2014 na ukasema ungerudisha leo 3,10,2014... naona mpaka sasa unajisaulisha tu please baby.... alafu unamalizia I LOVE U SO MUCH .. TAKE CARE MWAA...

AU UNAMWABIA VIPI KUHUSU ILE HELA YANGU...
Vipi kuhusu ile hela yangu uliyosema utarudisha tarehe 03.10.2015?
 
mmhhhh kukopeshana ktk mapenzi ni kudhulumiana...
Ukimdai sana atasema humpendi...Bora kama unayo umpe tuu, kama huna au inabudget usimpe mwambie sina...
Ni sheeder

Ila tukiwa katika ndoa nakukopesha na nakudai vizuri..Huniachi , sikuachi..Ila kama ndio mpenzi aaahhh anaweza sepa ukidai..

kwenye ndoa mnapeana tu ila huku tution huku bora useme sina
 
Naona mapenzi na pesa ni kama urafiki wa fisi na sungura.
 
Kama ulikuja kwa neno la kukopa hata 2000 utarudisha kusema ule ukweli
 
unaangalia na matumizi yenyewe, vinginevyo unapotezea tu ukishampa, kwani kuna nini...?
 
Mi simkopeshi tutaishia kuzinguana bure.
 
ndiyo hawashindwi kupinduamaneno ukutaja jina langu mimi siyo baby.... au mwingine anakwambia babay anakopaje ?

ila issue inakua hivi ukikataa kukopesha na wewe usikope teh teh
 
Back
Top Bottom