Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...

Yaani midume mingine bana mie siielewi. Yaani mwanamke anakufanyia hivyo bado unabembeleza *****? Wadau wamekushauri lakini hutaki kuchukuwa ushauri wao hata chembe? Sasa tufanyeje?

Umesema mwenyew kwamba:

1. Mkeo kakwambia kapata mme mwingine ambae ni different
2. Umesema mwenyewe huyo different anapiga simu na kutuma sms kwa mkeo at any time atakavyo
3. Umesema mwenyewe kwamba huyo different muda mwingine anapiga simu na kukutukana
4. Umesema mwenyewe kwamba mkeo haelewi kabisa kuhusu wewe.

Sasa unachoawait ni nini? Yaaani ningekuwa na uwezo midume kama nyie mnaotuharibia sifa za wanaume ni kutembeza bakora tu.

Achana na huyo kidudu mtu acha u.b.w.e.g.e.
 
CV ya maisha yako untaka kumpelekea nani?

Sasa ng'ang'ania huyo mwanamke ili aundike CV ya kifo chako......
 
Ningekunywa pombe ili nipoteze mawazo...namuiga Diamond. Na katika ulevi ntakutana na wenzagu ambao pia wanakunywa ili kupoteza mawazo. Maisha yataendelea tu. Tatizo ni kama mna watoto. Mhhhh
hahahah!!! umenfurahsha!! pombe zikiwaisha matatzo palepale!!!
 
This attitude that you have Ndio imemfanya aone jamaa yupo tofauti, you are not a man, Wewe Wala sio Mpole Una maslahi unapata kwa huyo mwanamke Hutaki yapoteza, Peleka upuuzi wako.

You went far mkuu, mpaka unanitukana, basi ubarikiwe kwa kujua kutukana ndugu...
 
hahahah!!! umenfurahsha!! pombe zikiwaisha matatzo palepale!!!

Lakini kwa nguvu ya pombe na kukutana na watu wapya utakuwa umeyapunguza...I am so concerned with kids if any...wao ndio wahanga wakubwa wa maamuzi hayo
 
na wewe msaliti..swala la kuaminiana tena siri yako hapa upati msaada sababu wengi wamumizwa kupita wewe aama awaaminiki kabisa milele na milele
pole sana nimesahau kukupa ...SIMAMA KAMA MWANAUME
 
kumuacha umpendaye ni kazi sana......

Ila tatizo lako unaishi maisha yako kwa kuangalia wengine watawazaje juu yako.....maisha mara moja, ishi kwa kujiangalia wewe furaha yako na usalama wako.....

Kumbuka mapenzi hayalazimishwi...... Na likuepukalo lina heri nawe kaka......

Utaletewa maradhi, badala ya kuulizwa kwa nini umetaliki watu waulizane uzima wako....
Hauna watoto? Unawaza kesho yao? Kama unawapenda utatafuta ustaarabu wako ili uwalee vyema....

Piga moyo konde anza maisha yako..... Ung'ang'anizi sio sifa, hebu ithamini nafsi yako
 
ebwana kama hamku jaliwa kupata mtoto piga chini,mungu atakulipa.
 
ngoja nikusamehe bure
maana una uchungu afu uko OFF BRAIN.

Mie leo siko kwenye mood ya kuvomit upu.pu.

Hongera, ushauri wangu, msamehe, mlilie tu atarudi.

Utaacha wangapi na CV yako ni ya muhimu sana.

vichwa si kwa ajili ya kufugia nywele - Jaji Werema.

Nilidhani unauliza age utoe ushauri kumbe you gat nothing than talking nothing, mkuu hujakomaa kihoja na wala kwa ushauri naona bado hujafaa, so what if am 22? and what if am 40? be wise on issues and not tissues...do you know why The Boss joted My FOOT? just another bendera kufuata upepo
 
Thank you wakuu...let me close this thread...I will take what to take and leave what to leave...Mbarikiwe wote mlotoa michango yetu, yote nimeisoma na imenipa faraja sana....
 
Ushauri wangu mdogo ni kuwa wanaume hatulii hadharani...maisha lazima yaendelee
 
Lakini kwa nguvu ya pombe na kukutana na watu wapya utakuwa umeyapunguza...I am so concerned with kids if any...wao ndio wahanga wakubwa wa maamuzi hayo
hapo sasa!! tenah bora baba ndio awe mkorofi!! utasema watakaa na mama yao but kama mama ndio mcharuko zn maisha ya watoto yanakuwa complicated coz wababa wengi hawawezi kulea watoto!! hasa watoto wadogo!!
 
Like

yaani kaletewa hadi usoni bado anauliza afanyeje??

Hizi kaya zina baba hizi, wengine hadi wanachosha.

Kwani wewe na yeye mlizaliwa wote?

Tupa kule tafuta mwingine.

Au na wewe ni mmoja wa wale waulizao 'utaacha wangapi'?
 
Back
Top Bottom