Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Mmmh,haya wee endelea kujifikiria tuu!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
una roho ya paka wewe, mkeo anakukana mbele ya mwizi wako bado upo??

Ni mama yako huyo???

Dark City, Nyani Ngabu, njooni uanamme umevikwa kimini.

wewe japo umewaita hawa naomba nimpe mchambo wake mtakatifu,
Hivi kweli wewe ni mwanaume unasubiri kusutwa na mwanaume mwenzio kisa mwanamke? hivi utakuwa mwanaume kama unasubiri kutukanwa na mwenzio namna hiyo? hivi uanamme wako uko surualini tu na siyo kwenye matendo yako? hivi unalinda cv eti isiharibike kwenye kutusiwa na mwanaume mwenzio kisa mkeo unaona hajaharibu cv yako?

oooh! poor boy nashukuru wewe si kaka yangu nakwambia mbuzi ningechinja mimi home badala yako.
 
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...

Pole sana ndio ukubwa...hata mimi nashangaa watu wanaofikiri kuacha wenzao kwa mzaha mzaha hivyo.
 
come down my friend!!! naona jibu halikukufurahsha!! but hii ndio JF sio wote wanaojibu vzur!!! siamini kama mkeo hakupendi!! anakupenda ila amerubunika!! usijali kuhusu CV ni heri hiyo CV iharibike now but uishi kwa amani na ndani ya mapenzi ya dhati na huyo utakaekuwa nae kuliko huyo mwenye tamaa na msaliti!! najua unampenda but wew sio wa kwanza kupenda!! kumbuka hata mama ako ulimpenda but now haupo nae!! so sio kila unaempenda utakaa nae milele!! mi naamin utapata mwngne utakaempenda zaid ya huyu!! but kama haupo tayari kuachana nae then tarajia mengi mateso na maudhi!!! but sikushauri hvyo!!

Kweli Princess enny, ujue maumivu halafu mtu anaongea anavyojua yeye utadhani hapa mie mgeni, kweli kuna mateso mengi yaja mbele yangu..I will be strong...all will be the past
 
CV yako ya maisha unataka kumpelekea nani? Na unaomba nafasi gani na hiyo CV??

Ngoja uje ulee mamluki na ugonjwa.
Dah kuna watu wana roho za paka. Haya yote mtu bado unasema unampenda Mkeo? Utakuja kulishwa sumu wewe kwa sababu ya ukondoo uliopitiliza (Sorry to say so). Hapo hakuna ndoa tena
 
Unajua kinachonitatiza ni kwamba mfanya kosa hata hajaomba msamaha, kisha wewe uliyefanyiwa kitu mbaya ndiyo unataka kunegotiate/kureconcile naye. Be strong. Take it as a passing cloud and you will forget about her. Watu hufiwa na wakasahau, sembuse mke amabye ameonesha wazi kukuchoka??

Sasa mkuu mie naomba ushauri, unataka naye aje hapa aandike au? nimeandika upande wangu, upande mmoja wa sarafu, sikutaka kuingiza what me and her we talked au nini alonifanyia in deep...
 
Kweli Princess enny, ujue maumivu halafu mtu anaongea anavyojua yeye utadhani hapa mie mgeni, kweli kuna mateso mengi yaja mbele yangu..I will be strong...all will be the past
kweli unampenda mkeo!!! sa utafanya nini kuhakikisha kila kitu kinarudi kama zamani!!??
 
kweli unampenda mkeo!!! sa utafanya nini kuhakikisha kila kitu kinarudi kama zamani!!??

moja, kafuta uaminifu wangu kwake ambacho ndo nguzo na mhimili wa mapenzi, pili sioni sababu ya kumpenda tena..huwezi force feelings jamani
 
Mkuu hivi wewe unajua neno KUPENDA? if you so, think twice, sijakurupuka kuandika hili, nimekaa na kujiuliza, nimeliweka kwenye taaluma yangu, nimechambua na kukaa kwa sana tu alone, Sio mama yangu lkn "when I was young, very young my mama passed away", i treated her just like her, reflection ya Mama huwa nilikuwa naiona kwa mke wangu, mkuu nahitaji msaada, sikuta kupigana na wala sina hulka ya kupigana maana without a reason fighting sio kitu muhimu sana, wala kukanwa sio kitu cha ajabu sana, I was blave to accept when she ignored me...Najua she will come back begging me and am sure for that, swali, when she will come crying what will I do? kiukweli sipendi kuona chozi la mwanamke linatoka kwa ajili yangu...

Ngoja uambukizwe HIV kwa kuendekeza mapenzi ya kwenye tamthilia! Umeshaambiwa huipendwi, unataka nini tena? Do u think things will ever be the same to both of u? Don't be naïve! Quit and move on!
 
Sasa mkuu mie naomba ushauri, unataka naye aje hapa aandike au? nimeandika upande wangu, upande mmoja wa sarafu, sikutaka kuingiza what me and her we talked au nini alonifanyia in deep...

Sawa. Nakubali binadamu hawezi kuwa mzuri mia kwa mia na wala hawezi kuwa mbaya mia kwa mia. Nadhani kubwa lililobaki ni ww kupima upande upi umezid mwingine. Mengi unayajua wewe kama ulivyosema. Kila la her ktk kutafuta utatuzi.
 
moja, kafuta uaminifu wangu kwake ambacho ndo nguzo na mhimili wa mapenzi, pili sioni sababu ya kumpenda tena..huwezi force feelings jamani
now nimeshakuelewa!! bora uachane nae!! itauma but utasahau!! mtu unapoteza wazazi na maumivu yanapotea sembuse mke!! tenah mke ambae hamuachani ktka gud terms!!
 
Mkuu Magulumangu, pole aisee..ujue maishani tunapitia changamoto na mitihani mingi sana. Yaani kwa jinsi mke wako alivyokufanyia ni dhahiri hakupendi au ana hisia tena na wewe vinginevyo asingeweza kuwa na ghadhabu ya kukujibu alivyokujibu na tena ukakutana na huyo mwanaume...Uamuzi uu mkononi mwako maana inaelekea unampenda sana mke wako..
Yegomasika naomba ulete ushauri wako pia hapa..hili suala ni tata sana!!
Eehe hebu tuambie bibie BJ....ilikuwaje?. Ha ha ha...
 
wewe japo umewaita hawa naomba nimpe mchambo wake mtakatifu,
Hivi kweli wewe ni mwanaume unasubiri kusutwa na mwanaume mwenzio kisa mwanamke? hivi utakuwa mwanaume kama unasubiri kutukanwa na mwenzio namna hiyo? hivi uanamme wako uko surualini tu na siyo kwenye matendo yako? hivi unalinda cv eti isiharibike kwenye kutusiwa na mwanaume mwenzio kisa mkeo unaona hajaharibu cv yako?

oooh! poor boy nashukuru wewe si kaka yangu nakwambia mbuzi ningechinja mimi home badala yako.

Hivi wewe dada kupigana ndo kuonyesha uanamme? mie naona kukaa kimya na kuonekana mjinga ni wiser than kupiga makelele yasiokuwa na maana, nimefikiria sana kuhusu hili, sikukurupuka hata kulianika hapa maana nilijua tu wengine watatukana, wataandika what they think, the best for them..kamwe sitaachana nae kwa kutoleana matusi, kuachana kwa amani ndo tabia yangu na I believe in it...pia nashukuru sio kaka yako maana ungenipa ushauri wa kwenda kumpiga mwanamke au mwanaume mwenzangu, to let it go safely is better than fighting...I will fight with my heart...
 
This attitude that you have Ndio imemfanya aone jamaa yupo tofauti, you are not a man, Wewe Wala sio Mpole Una maslahi unapata kwa huyo mwanamke Hutaki yapoteza, Peleka upuuzi wako.

Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...
 
Pole sana ndio ukubwa...hata mimi nashangaa watu wanaofikiri kuacha wenzao kwa mzaha mzaha hivyo.

mkuu life goes on, mapenzi yapo kwa ajili ya kuachana....na matatizo yapo kwa ajili kuwa solved
 
Back
Top Bottom