Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Yes To HELL, well said mzee, mkuu usiombe ikutokee kama mie hapa, sio mtumiaji wa kinywaji au kilevi chochote hivyo am BURNING softly inside ndugu yangu, kama ningekuwa sio understanding man basi ningeanza hata kupata mbili moja baridi lkn sipo kwa hivyo vitu...

Ni kweli kaka natambua maumiv ulonayo.Hata mimi nlipitia huko na si mtumiaji wa kilev chochote kile.Natambua kaz haziend,tv haiangaliki,chakula ndo kabisaa unakula just kuzuia usidhoofu lakn hapetite zero,usingz nao wa kufosi,ah kwa ujumla ni ghasia tupu.Tambua upo kwenye transition period na ukubali maumiv hayo yataisha tu.Hakuna kitu kinatibu hapa chini ya jua kama MUDA. take your time fanya maamuz ya kiume.Wewe si wa kwanza kufanyiwa hayo.Ukitaka pepo kabili maumivu ya kutolewa roho so na wewe kubali maumivu ya kumpoteza mke wako lakn bdae uishi bila stress.Take that
 
Mkuu slow down your keyboard...........Thank you by the way..

Nafikiri wewe deep down 'hukumpenda mkeo'
Ulimchagua sababu ali fit 'sifa za mke'
hata bond na urafiki hamna
Ilikuwa kama umeajiri 'the perfect secretary'
Nd maan huumii wala kukasirika saana
uko dissapointed tu zaidi...

Ungetafuta mke ambae ni rafiki na mnaelewana
 
Tatizo ni kuwa ulikuwa unamtreat kama mama yako and not as your wife. Sasa amepata "husband" wa ukweli amepagawa. Pole sana mkuu.

Mkuu unauhakika kama huyo ndo mwanaume wa kweli? Time will tell when will be late...FORWARD kama Obama campain
 
Tobaaa! Mambo kadhaa tu ndg yangu. Moja nakupa pole kwa hayo yaliyokukuta. Yaan kama si fiction, una roho ngumu na nakupa hongera kwa hilo. Pili, naona mkeo hana mapenzi na wewe tena. Tatu, mshukuru pia kwa kuamua kukuambia ukweli, pengine angeamua kukuficha halafu ukaendelea kula makombo. NNe, Huyu mwanamke anajua kizuri kwake, anajua mume mzuri, wewe humfai, na amethibitisha hilo kwa kukuambia wazi wazi. Tano, hatua aliyofikia mkeo, ni ya juu zaidi, sidhani kama kupatanishwa itafaa na hata ikifaa, maisha yenu yatakuwaje? lazima mang'amung'amu yatakuwepo tu.

USHAURI. Inauma sana kuona mtu uliyemtunzia heshima na kumuamini amekusaliti. Nashauri uachane naye, yaani mwambie mtalikiane. Kama uliweza kujizuia kumtandika jamaa ngumi (jambo ambalo mm binafsi ningeshindwa kujizuia, ukiachia kumtandika mke), kwa nn ushindwe kuachana naye? Huo siyo mwisho wa maisha, CV si muhimu sana kama usalama wako na amani ya roho. Nina uhakika hata ndg na jamaa zako watakucheka kama hutachukua hatua ya kutaliki.Kuwa mwanaume pse.

Mkuu hakuniambia ukweli mpaka nilipoona sms, so she was not gonna tell that, lkn am grad nimejua hilo mapema, ni wakati mgumu lkn ntakuwa strong
 
ni mke wako wa ndoa kanisani/msikitini/bomani? au ni hawara mlichukuana tu na kuanza kuishi bila ndoa hivyo hakuna aliye pigwa pingu na mwenzie?....kufunga ndoa nako kuna umuhimu wake kwasababu hapo ungetakiwa uende court kumshitaki jamaa kwa kukuibia mke ili upate compensation (its not criminal, hiyo ni civil). toa jibu hapo, kama mlikuwa mmefunga ndoa, sema, kama bado sema ili tujue majibu mazuri ya kukupatia....
 
Hata usipoachana naye CV imeshaharibika, ila utaisafisha ukimtema huyo mkeo. Kama hakuna upendo ni kai bure kulazimishia mapenzi. Siku nyingine usiende kujichoresha kwa mume mwenzio maana waweza pandwa na ghadhabu ukajikuta unaingia katika matatizo ambayo ungeweza kuyaepuka.
 
bora umenitafsiria CV ni my foot.

Mie sijamwelewa kabisa, at 33 jamani???

Bora angekuwa 22 labda, eti kainvesti, kainvesti kuleta liba.zazi ndani??

Nilidhani unauliza age utoe ushauri kumbe you gat nothing than talking nothing, mkuu hujakomaa kihoja na wala kwa ushauri naona bado hujafaa, so what if am 22? and what if am 40? be wise on issues and not tissues...do you know why The Boss joted My FOOT? just another bendera kufuata upepo
 
Pole sana Mkuu kwa yaliyokukuta...fanya maamuzi magumu na hivyo kuanza upya katika hii idara ya mapenzi.
 
brother!trust me atakuja analia one day,sasa nambie tu utamsamehe au?by the way,congrats for being such a real man and wise man kipindi hiki kigumu,

That is my question, will I forgive her when she comes back?
 
Yes, we had a talk mwaka jana hivi halafu ukapotea kabisa JF nilihisi umebadili ID au umetoweka kabisa...

Nafurahi kusikia hutuhukumu wanawake wote kwa kosa la mkeo mpendwa..Hii itakufanya usiwe na chuki dhidi yetu au mawazo ya kuwa kila mwanamke atakutenda..Yaani kama hamna kitu kibaya ulichomfanyia mkewe na amekubadilikia hivyo, hajui jinsi gani anavyokupoteza na kwa upendo wa dhati ulionao juu yake..

Be strong mkuu kwenye hili, fanya uamuzi wa busasa...Pole!!

Nimekukumbuka sana BJ, sina sababu kuchukia wanawake wote, sijawa wa kwanza kuumizwa, pia wanawake nao huumizwa kama nilivyoumizwa mimi tena huenda ikawa mbaya zaidi....nasoma ushauri hapa then will know what to do...lenye mwanzo lina mwisho....na mwisho wa mapenzi ndo unakuwaga hivi hivi always....
 
Mkuu sijakuelewa una maanisha nina roho ngumu au mwanamke an roho ngumu? toa ushauri sio kulaumu...kulaumu ndo kunarudisha nyuma maendleo ya Tz, badala ya kushauri nini cha kufanyika mnalalama na kutoa maneno mbofu mbofu

Wewe ndiye mwenye roho ngumu sana. Die Hard dude!!
 
Mkuu hivi wewe unajua neno KUPENDA? if you so, think twice, sijakurupuka kuandika hili, nimekaa na kujiuliza, nimeliweka kwenye taaluma yangu, nimechambua na kukaa kwa sana tu alone, Sio mama yangu lkn "when I was young, very young my mama passed away", i treated her just like her, reflection ya Mama huwa nilikuwa naiona kwa mke wangu, mkuu nahitaji msaada, sikuta kupigana na wala sina hulka ya kupigana maana without a reason fighting sio kitu muhimu sana, wala kukanwa sio kitu cha ajabu sana, I was blave to accept when she ignored me...Najua she will come back begging me and am sure for that, swali, when she will come crying what will I do? kiukweli sipendi kuona chozi la mwanamke linatoka kwa ajili yangu...
come down my friend!!! naona jibu halikukufurahsha!! but hii ndio JF sio wote wanaojibu vzur!!! siamini kama mkeo hakupendi!! anakupenda ila amerubunika!! usijali kuhusu CV ni heri hiyo CV iharibike now but uishi kwa amani na ndani ya mapenzi ya dhati na huyo utakaekuwa nae kuliko huyo mwenye tamaa na msaliti!! najua unampenda but wew sio wa kwanza kupenda!! kumbuka hata mama ako ulimpenda but now haupo nae!! so sio kila unaempenda utakaa nae milele!! mi naamin utapata mwngne utakaempenda zaid ya huyu!! but kama haupo tayari kuachana nae then tarajia mengi mateso na maudhi!!! but sikushauri hvyo!!
 
Ni kweli kaka natambua maumiv ulonayo.Hata mimi nlipitia huko na si mtumiaji wa kilev chochote kile.Natambua kaz haziend,tv haiangaliki,chakula ndo kabisaa unakula just kuzuia usidhoofu lakn hapetite zero,usingz nao wa kufosi,ah kwa ujumla ni ghasia tupu.Tambua upo kwenye transition period na ukubali maumiv hayo yataisha tu.Hakuna kitu kinatibu hapa chini ya jua kama MUDA. take your time fanya maamuz ya kiume.Wewe si wa kwanza kufanyiwa hayo.Ukitaka pepo kabili maumivu ya kutolewa roho so na wewe kubali maumivu ya kumpoteza mke wako lakn bdae uishi bila stress.Take that

Mkuu u said it all..nothong to add, ujue wengi hapa just typing only, two weeks nalala two hours tu, kula ndo hivyo kwa mawenge..anyway thank you sana mkuu...
 
Nafikiri wewe deep down 'hukumpenda mkeo'
Ulimchagua sababu ali fit 'sifa za mke'
hata bond na urafiki hamna
Ilikuwa kama umeajiri 'the perfect secretary'
Nd maan huumii wala kukasirika saana
uko dissapointed tu zaidi...

Ungetafuta mke ambae ni rafiki na mnaelewana

kwa red "hutojua jinsi ninavyoumia mkuu" just leave it with me, THE PAINS
 
Mkuu hakuniambia ukweli mpaka nilipoona sms, so she was not gonna tell that, lkn am grad nimejua hilo mapema, ni wakati mgumu lkn ntakuwa strong
Unajua kinachonitatiza ni kwamba mfanya kosa hata hajaomba msamaha, kisha wewe uliyefanyiwa kitu mbaya ndiyo unataka kunegotiate/kureconcile naye. Be strong. Take it as a passing cloud and you will forget about her. Watu hufiwa na wakasahau, sembuse mke amabye ameonesha wazi kukuchoka??
 
ni mke wako wa ndoa kanisani/msikitini/bomani? au ni hawara mlichukuana tu na kuanza kuishi bila ndoa hivyo hakuna aliye pigwa pingu na mwenzie?....kufunga ndoa nako kuna umuhimu wake kwasababu hapo ungetakiwa uende court kumshitaki jamaa kwa kukuibia mke ili upate compensation (its not criminal, hiyo ni civil). toa jibu hapo, kama mlikuwa mmefunga ndoa, sema, kama bado sema ili tujue majibu mazuri ya kukupatia....

Mkuu nimesema mke wangu for five years wa ndoa, KANISANI and then tukahakiki kule Mhimbili uzazi na vifo, nikapewa na certificate kubwa ile, kama umeoa na kusajiri ndoa yako unajua naongea nini
 
Hata usipoachana naye CV imeshaharibika, ila utaisafisha ukimtema huyo mkeo. Kama hakuna upendo ni kai bure kulazimishia mapenzi. Siku nyingine usiende kujichoresha kwa mume mwenzio maana waweza pandwa na ghadhabu ukajikuta unaingia katika matatizo ambayo ungeweza kuyaepuka.

Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom