Je, mipango ya kuiangusha CCM itafanikiwa?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,266
Reaction score
14,274
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
 
Kama cdm haitoshinda urasi nahisi watakuwa na wakati mgum, kwamaana nikiangalia safu walio nayo kama itahimili miaka 5 kuzunguka nchi kujiimalisha zaidi . mtu kama el, sumaye, masha, sio wazuri sana kwa kujiimalisha kama vile wamefika mwisho
 
Watapita kwa kura za nani?
 
Hata kama iwe hivyo, Mahujaj huenda Maka kila mwaka pamoja na mambo mengine kumpiga mawe shetani (mlaaniwa).

Ukweli utabaki kuwa Maka ya Tanzania itaendelea kumpiga mawe shetani (ccm), Mlaaniwa!
 
CCM inajihujumu yenyewe, nani aliwafundisha ufisadi? Acha ujinga, ndo nyinyi Kingunge kawaita wachache wa UVCCM. Unazidiwa maarifa na mzee? Utakuwa mchawi uzeeni.
 
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.

Mara hii wengi mtakosa ugali tu! Walevi wa madara ni CCM walioing'ang'ania na kuinyonya TZ kwa miaka 54.
 
Ni kweli msumari utokea ulikoingilia na ndo maana nilikuwa naamini kama ni kujisafisha CCM itajisafisha yenyewe kwasababu wanajielewa walikosea wapi na kwa hii course walioichukua inamaanisha wameelewa bayana ni wapi ugonjwa ulikuwa unashambulia kwa nguvu, wamepabaini na wameamua kuukata mkono ( bunch) zima ili kuitokomeza kansa ..wameweza kujifanyia internal assessment na reformation upya, kwa vyama vingine hii hatua iliwashinda na hivyo vilipotea moja kwa moja, nyinyi ni chama makini sana katika Afrika yetu na mmeonesha mnaweza kuhimiri vishindo vidogo na vikuu
 
Kama kura zingekuwa zinaamua nani awe raisi bas ccm wangeweza ila sivyo kama watu wanavodhani! Rais huandaliwa miaka mingi huko nyuma upigaji wa kura ni formality tu ila rais anajulikana na maandalizi aliyoyafanya sio ya kitoto.wenye akili wako kimya ila waropokaji wanarusha mitusi tu.Fungukeni
 
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
Nasikia waliobaki ccm hawataki madaraka tena kwa kuwa wameshakaa madarakani for 54 year,wamechoka na wameamua kupumzika
 
Kama cdm haitoshinda urasi nahisi watakuwa na wakati mgum, kwamaana nikiangalia safu walio nayo kama itahimili miaka 5 kuzunguka nchi kujiimalisha zaidi . mtu kama el, sumaye, masha, sio wazuri sana kwa kujiimalisha kama vile wamefika mwisho

​Baada ya uchaguzi huu kama watapata nyomi basi ni ya wazomeaji na warusha mawe!
 
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.

Moto huu ni laana jifaliji ukafikili laana kwa ccm itaiacha salama katu barua ya wazi kwa ccm kutoka kwa bishop
 
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
wataalamu wa siasa uliowasema ni pamoja na Mwl. J.K.Nyerere aliyesema " watakaoitoa CCM madarakani watatoka CCM", sema hilo umesahau lofa ww.
 
Upinzani wa kweli utatoka Ccm-Mwl Nyerere, sio wataoitoa ccm watatoka ccm, so Mjiandae kuwa wapinzani wa kweli, hata Mrema alitoka Ccm akawa mpinzan wa kweli kwa muda fulani
 
Subiri kitu kikuingie vizuri ndipo uropoke, c unaguswa 2 unaanza kelele
 
CCM inajihujumu yenyewe, nani aliwafundisha ufisadi? Acha ujinga, ndo nyinyi Kingunge kawaita wachache wa UVCCM. Unazidiwa maarifa na mzee? Utakuwa mchawi uzeeni.

Hao waliohama ccm ndiyo waasisi na walezi wa ufisadi na ndiyo wamehamia chadema baada ya kuona kwenye kiota Chao kaingia nyuki
 
Back
Top Bottom