Je, mipango ya kuiangusha CCM itafanikiwa?

Je, mipango ya kuiangusha CCM itafanikiwa?

Cccm bye bye Ni vyema mkaondoa mambo yenuuu pale Ikulu...Siku huyo wananchi wengi wakiwa na nyuso za Bashasha..tutampeleka mpaka chumba cha kulala Ikulu..ili lipo waziiii wananchi wengii wengiii tunampenda na Ndio Chaguo letuuuu!!!
 
Viva Lowassa.25,October is lowassa's day!!!
 
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.

Naona Unaitwa Tumaini Edward Lowasa, ninyi mpo CCM mchana, Usiku mpo kwa Rais wetu awamu ya Tano lowasa.

Sioni sisiemu inamuujiza gani wa kushinda uchaguzi, mpk sasa tushachukua nchi yetu Watanzania, kama uhamino subiri October 25 saa nane usiku tutatangaza Matokeo.

Unajiuliza waliopo chadema, umejiuliza mafisadi wa ccm wataishije lowasa akiwa Rais?
 
Kwa bahati nzuri mipango hiyo ya kuiangusha CCM inafanywa na mafisadi. Potelea mbali. CCM itanyanyuka na kushinda uchaguzi kwa kishindo

CCM..........And other bla bla shit..oh my a.s!
Bado mnamkumbuka hayati CCM?
CCM ndio kushnei hivyo mjifunze kuzoea!
 
Kwa bahati nzuri mipango hiyo ya kuiangusha CCM inafanywa na mafisadi. Potelea mbali. CCM itanyanyuka na kushinda uchaguzi kwa kishindo

Kushinda kwa kupigiwa kura na nani mkuu..kuna option moja tu kwa ccm kurudi madarakani...kuiba kura tena kwa kuiba nyingi mno!nyie mnaoiunga mkono fisiem ni vibaraka mlopandikizwa au hujielewi kwa kupewa vijisenti kidogo..hamwaonei huruma watanzania waliowengi wanaishi kwa mlo moja kwa siku?shame on you!kwa nn mnafumba macho?mungu awalaani mpk muingiapo makaburini mwenu.,na historia itawahukumu!
 
Hao waliohama ccm ndiyo waasisi na walezi wa ufisadi na ndiyo wamehamia chadema baada ya kuona kwenye kiota Chao kaingia nyuki

Ebwana umejibu kwa ustadi.Kingunge ndiye alikwamisha mabadiliko ndani ya CCM kwa muda mrefu,sasa ameona na chama kınaanza kurejea taswira yake nzuri.
 
Unadhani kwanini CCM wlichakachua katiba? Usijitoe ufahamu.

Ni kwa sbbu ya influence ya Kingunge,yule babu aliyetaka Lowasa awe rais ili waendeleze kupga dili huku taifa likiangamia.
 
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
Mpango uligota baada ya kuvua gamba na kuvaa gwanda!
 
Wananchi tumeichoka CCM, hiyo haina mjadala. Kinachofuata baada ya kuichoka ni kuichukia sana. Kitu ambacho ndo level niliyofikia. Naichukia CCM kwa moyo wangu wote, angekuwa ni mtu ningemmmixia kitu ngumu afe
 
Kwa bahati nzuri mipango hiyo ya kuiangusha CCM inafanywa na mafisadi. Potelea mbali. CCM itanyanyuka na kushinda uchaguzi kwa kishindo

Kama wanaotaka kuingoa ccm madarakani wangekuwa ni wange kuwa clean kama lipumba Dr au hata mboe mwenyewe hata mimi ningepiga kura ya kiing'oa ccm madarakani. lakini lowas suma mash subutuuuu...
 
Ingawa siipend CCM ila EL simpend zaidi, Nasema NO, yes a big NO kwa fisadi
 
Kushinda kwa kupigiwa kura na nani mkuu..kuna option moja tu kwa ccm kurudi madarakani...kuiba kura tena kwa kuiba nyingi mno!nyie mnaoiunga mkono fisiem ni vibaraka mlopandikizwa au hujielewi kwa kupewa vijisenti kidogo..hamwaonei huruma watanzania waliowengi wanaishi kwa mlo moja kwa siku?shame on you!kwa nn mnafumba macho?mungu awalaani mpk muingiapo makaburini mwenu.,na historia itawahukumu!

Ndugu sikia Mimi ni chd kavile wewe unavyo jiita chd. (ingawa sijui kama umehama na lowas kutokea ccm kujanaye chd ama lowas kakukuta ukiwa chd) nilimchukia mbuzi tunaye taka kuuzi kwenye gunia bovu kwa bei raisi nilimchukia alipokuwa cc na mimi nikiwa chd. nasasa kaja huku, hatuna namna itabidi turudi kule. Viongozi wetu wanatukoroga sana sijui wanafikiri sisi niwatu wanamna gani yani wanatufanya kamavile watoto. Chochote tunachoambiwa tunakubali Nasisi tunataka kuwaonyesha tunazo akili na hatudanganyiki Ng'oooooo.....!!! tutarudi chd wakishaondoka hawa.
 
Back
Top Bottom